mkuu unataka watu wasipate tiba , aje kulaumiwa shetani.
uzi huu nadhani ulikuwepo mwaka jana kipindi cha kampni ya bima kwa wote.
bima hizi kama za afya ni makubaliano tunachanga atakaye umwa apate tiba.
mnapindisha maneno mnaongopea waumini
Nipe tofauti ya kamari na bimaSamahani Kiongozi,
Naona Umeandika mada ambayo huna Elimu nayo ya kutosha hivyo nakushauri ujikite kwenye mada unazo zielewa vizuri, kama kukataza watu Kuiba, kupunja kwenye mizani, kupindisha sheria, Ushirikina, uasharati nk
Hizo vitu vya sharia acha wabobevu wa Sharia wavizungumzie...
Samahani Kiongozi,
Naona Umeandika mada ambayo huna Elimu nayo ya kutosha hivyo nakushauri ujikite kwenye mada unazo zielewa vizuri, kama kukataza watu Kuiba, kupunja kwenye mizani, kupindisha sheria, Ushirikina, uasharati nk
Hizo vitu vya sharia acha wabobevu wa Sharia wavizungumzie...
mtaalamu unapotea mahali gani? bima inakuaje sawa na kamari?Nipe tofauti ya kamari na bima
Zote ni pata potea
Wanauliwa pesa zao ni wengi
Bima ni dhulumat
Ukinufaika jua Kuna uliyemdhulumu
Na usiponufaika jua umepunwa
Maana yake ni kuvunja usichostahilimtaalamu unapotea mahali gani? bima inakuaje sawa na kamari?
kwamba unaenda kukata pale nhif bima ya mwaka , alafu unarudi nyumbani unashauku kubwa sana ya kuumwa ili uende hospitali ukatumie hela yako?
Lengo la kamari ni kukupatia utajiri wakati lengo la bima ni kukurejesha kwenye hali uliyokuwa nayo kabla ya ajali/ugonjwa.Tofautisha kamari na Bima
watu waliokubaliana tuchange hela mtu akiumwa atibiwe, nani anavuna asichostahili hapo ?Maana yake ni kuvunja usichostahili
Kuwa na shauku kutokuwa nayo hiyo sio sababu
Hapo kilichopp ni kunufaika au kupunwa pesa zako
Iran anataka kubomu mitambo yote ya maji yanayosafisha maji ya bahari kuwa maji safi na salama. Watachamba na mchanganext month tunaenda macca kubusu jiwe na kumpiga jiwe shetani