Kwenye ulimwengu wa roho maisha ni mfano wa operating system

Kwenye ulimwengu wa roho maisha ni mfano wa operating system

De-zerbi

Member
Joined
Mar 7, 2024
Posts
82
Reaction score
103
Maisha tunayoishi ni mfano wa operating system nikimaaninisha ukija afrika na kutoa south afrika na nchi za kiarabu kuanzia dakar uje abidjan, accra, lagos, kinshasha, nairobi, dar es salaam, kampala, lusaka n.k utagundua hii miji na mingine sijaitaja inakitu kinachofanana iko dis-organize, michafu, asilimia kubwa ni squatter na slums

Ukija kwenye nchi za sub saharan afrika utagundua maisha yanafanana hayana tofauti jibu operating system ya ulimwengu wetu wa kiroho kwa sub saharan countries ni moja

Ukienda western europe zile nchi zinafanana kuanzia france, belgium, netherlands, german, na scandnavia countries utagundua operating system yao ya maisha inafanana

Ukiangalia marekani na canada wanafanana sana kimaisha kuanzia mipango miji na architecture sogea mexico ni mbingu ardhi- anzia mexico nenda mpaka peru utagundua maisha yao yanafanana sana, kwa mantiki hiyo marekani na canada wanatumia operating sytem moja ila ukienda mexico, honduras, colombia mpaka mexico utagundua wana operating system yao tofauti na ile ya marekani na canada

Point yangu ni nini ukitaka kubadilisha maisha ya Tanzania unatakiwa kubadilisha operating system ya maisha kwenye ulimwengu wa roho kwa sababu ndo inayopanga tuishi hivi

Ndani ya operating system ya maisha kuna mambo mazuri na mabaya mfano kwenye operating system ya maisha ya south afrika kuna swala la violent crime hakuna namna hili swala south africa wanaweza lishinda sababu ni sehemu ya maisha yao ili ubadilishe unahitaji utumie nguvu kubwa sana za ulimwengu wa mwili au ubadilishe kwenye ulimwengu wa roho

N.B., Nipo kwenye mchakato wa kubadilisha operating system ya maisha ya Tanzania
 
Na kuna watu wanazi control hizo operating system na ili uamke ni lazima wewe mwenyewe ui control operating system yako
 
😂😂😂😂😂

Kwa maana nyingine ni kwamba Mifumo inayotumiwa ya Uendeshaji wa Nchi zilizotajwa kuwa na Ubora fulani wa Maisha?

Sasa ni vizuri ukachague OS inayolingana na mahitaji yako, na uhakikishe kuwa 'roho' yako inakidhi mahitaji yake. Kumbuka tu, si kila kitu kinachofanya kazi kwingine kitafanya kazi barani Afrika, kwa muktadha uliotumiwa au mwingine wowote.

nb:Imesha tu cost waaafrika kubadilisha OS kibao. They simply don't work.
 
Back
Top Bottom