YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Habari,Asante kwa kuwasiliana nasiTuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi...
Unanua umeme wa 5000/=
Unapata unit za 3800/=
Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU MAWINGA....
UMEME WA BWAWA LA NYERERE
Ulisafirishwa kwenda wapi mbona Bei YA umeme haishuki kama supply imeongezeka
Washaurini sasa EWURA washushe bei. Maana mkishusha zaidi ya ilivyo sasa mtachochea uwekezaji mkubwa na kukuza uchumi kwa ujumla.Habari,Asante kwa kuwasiliana nasi
Makato yote uliyotaja yapo kwa mjibu wa taaribu na Sheria,Mfano VAT kila mtu anatakiwa kulipia Kodi kwenye manunuzi au huduma unayopata ndiyo maana utakuta kwenye manunuzi ya umeme pia ipo.
Aidha, uwepo wa bwawa la Julius Nyerere limeongeza upatikanaji wa huduma ya umeme nchini ambayo ni muhimu kwenye uwekezaji na ujasiliamali wa aina zote. Hata hivyo kuhusu bei kushuka mamlaka husika (Ewura) wanawajibika kuangalia gharama za umeme na kupendekeza kupunguza au kuongeza kulingana na uhalisia.^CM
Habari, Ndugu Mteja.Washaurini sasa EWURA washushe bei. Maana mkishusha zaidi ya ilivyo sasa mtachochea uwekezaji mkubwa na kukuza uchumi kwa ujumla.