Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Ondoa shaka, inamudu hio safari, Hiyo hiyo TI imeshafanya safari ya Dar - Bukoba bila shida.carina je inahimili safari ndefu kama hii.
Pitia hili bandiko: https://www.jamiiforums.com/threads...inafsi-chunga-sana-na-waambie-wengine.834494/nini cha kuzingatia wakati wa safari
Pamoja sana mkuu ngoja nipitieOndoa shaka, inamudu hio safari, Hiyo hiyo TI imeshafanya safari ya Dar - Bukoba bila shida.
Pitia hili bandiko: https://www.jamiiforums.com/threads...inafsi-chunga-sana-na-waambie-wengine.834494/
Kwenye posti ya kwanza
Mkuu narudisha shukrani zangu kwa bandiko hili nimejifunza mengi sana ubarikiwe sana mkuu.Ondoa shaka, inamudu hio safari, Hiyo hiyo TI imeshafanya safari ya Dar - Bukoba bila shida.
Pitia hili bandiko: https://www.jamiiforums.com/threads...inafsi-chunga-sana-na-waambie-wengine.834494/
Kwenye posti ya kwanza
Nakushukuru sana mkuu wangu kwa maelezo mazuri sana umenijuza mengi sana piv kadilio kamili la mafuta limekaaje kutoka mbeya mpaka mwanza kwa hii gari ndogo tiKama bandiko ulivyolisoma fuatilia hilo. Kila unapofika kwenye vituo vya mafuta, jaza full tank. Pumzika hata dk.15 ukitoka mbeya mpaka Iringa. Ukifika katikati kama kuna kituo kabla ya dodoma, pumzika na ongeza mafuta. Dodoma chukua msosi na kuongeza mafuta.
Check maji na Oil kila wakati. Ukifika Singida weka mafuta ingawa pale huwa wanakuwa na usumbufu. Angalia mwendo wako wakati unafika Sekenke.
Usiovertake. Baada ya kuingia Tambarare itakuwa jioni nadhani itabidi ulale Nzega. Usilazimishe kuendesha usiku. Kuna hotel moja Nzega baada ya round about sina uhakika kama iko chini ya NBC au ila ni nzuri na parking imo ndani. Mimi natumia hiyo kila wakati. Saa Kumi na moja anza safari kwenda kwenu.Samahani naandika kama naongea maana mimi nimefanya hivi lakini toka Dar na Dod kwa miaka zaidi ya 30 tena wakati hakuna lami ila hakukuwa na matuta wala magari mengi. Ila sasa mhu!
Hata mm kwa muda niliokaa nayo naona haina shida kabisaTi unaenda kokote hiyo ni zaidi ya gari gumu
Pia umegusia swala la usumbufu hapo singida ni usumbufu gani huu mkuuKama bandiko ulivyolisoma fuatilia hilo. Kila unapofika kwenye vituo vya mafuta, jaza full tank. Pumzika hata dk.15 ukitoka mbeya mpaka Iringa. Ukifika katikati kama kuna kituo kabla ya dodoma, pumzika na ongeza mafuta. Dodoma chukua msosi na kuongeza mafuta.
Check maji na Oil kila wakati. Ukifika Singida weka mafuta ingawa pale huwa wanakuwa na usumbufu. Angalia mwendo wako wakati unafika Sekenke.
Usiovertake. Baada ya kuingia Tambarare itakuwa jioni nadhani itabidi ulale Nzega. Usilazimishe kuendesha usiku. Kuna hotel moja Nzega baada ya round about sina uhakika kama iko chini ya NBC au ila ni nzuri na parking imo ndani. Mimi natumia hiyo kila wakati. Saa Kumi na moja anza safari kwenda kwenu.Samahani naandika kama naongea maana mimi nimefanya hivi lakini toka Dar na Dod kwa miaka zaidi ya 30 tena wakati hakuna lami ila hakukuwa na matuta wala magari mengi. Ila sasa mhu!
Mbeya sijafika ila toka Dod mpaka Singida utatumia about 40,000/ ili iwe full tank. Sijui bei ya sasa maana nipo porini mbali na home.Nakushukuru sana mkuu wangu kwa maelezo mazuri sana umenijuza mengi sana piv kadilio kamili la mafuta limekaaje kutoka mbeya mpaka mwanza kwa hii gari ndogo ti
Mara nyingi huwa hawana mafuta ila kuna kituo baada ya round about baada ya kutoka mjini tumejaza pale mara tatu hivi.Pia umegusia swala la usumbufu hapo singida ni usumbufu gani huu mkuu
Mbeya sijafika ila toka Dod mpaka Singida utatumia about 40,000/ ili iwe full tank. Sijui bei ya sasa maana nipo porini mbali na home.
OkayMara nyingi huwa hawana mafuta ila kuna kituo baada ya round about baada ya kutoka mjini tumejaza pale mara tatu hivi.
Nimekupata mkuu wangu nashukuru sanaSafari hatua.. Jitahidi kucheki oil na maji kula baada ya mda...
Usinywe Redbull kwani mda wa kupunzika zinakosesha usingizi..
Ukijiona umechoka fika sehemu salama upunzike.Usiizime gari chini ya 15 minutes..
Machine iko kwenye Hari nzuri tu mkuu, kikubwa ni umakini kama ulivyo sisitizaKwa maelezo yako, nafikiri umeinunua hapa hapa kwetu. Hiyo changamoto yake ni kupata maintence record ya uhakika. As huwezi jua jamaa alikuwa anaitunzaje. So kama ulivyoshauriwa, fanya vyote ila zingatia saana mwendo kasi. Ingekuwa ndani ya uwezo, ningekwambia ujaribu walau Dsm Moro na kurudi. Safari yako ni ndefu saana kwa mtu asie na uzoefu na safari za namna hiyo. Kuendesha gari salama highway kunahitaji umakini mkubwa, na uzoefu pia.
Nimekupata mkuuNaona katika safari wengi wanaandika kujaza mafuta tu na kuangalia oil, lakini kuna kitu muhimu sana madereva huwa wanasahau
Kuangalia matairi na upepo wake kila wakati na ajali nyingi sababu huwa upungufu wa hewa be prepared
Kwa uzoefu wangu WA safari ndefu kwanza angalia Tairi zako Kama zimexpire au kuisha, upepo stahiki kwenye Tairi.Wakuu habari za majukumu huko mlipo.
Kama ilivyo kawaida kupeana elimu juu ya vyombo mbalimbali vya usafiri hapa JF na kweli na kiri kujifunza mambo mengi sana hapa JF.
Sasa wakuu miezi kadhaa iliyopita nilijipatia
Kagari kangu aina ya Carina TI kako kwenye hari ya kuridhisha, nataka nisafiri nako kutoka Mbeya hadi Musoma japo sio mzoefu wa safari ndefu
Naomba ushauri wenu nini cha kuzingatia katika service ya gari kabla sijaanza safari hiyo na nini cha kuzingatia wakati wa safari na wazoefu wa gari aina hii ya carina je inahimili safari ndefu kama hii.
Natanguliza shukrani zangu.