Kwenye usahili utumishi wanakubali kupokea loss report ya kitambulisho Cha taifa kilichopotea?

Kwenye usahili utumishi wanakubali kupokea loss report ya kitambulisho Cha taifa kilichopotea?

Ijose

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
9
Reaction score
2
Habari,naomba msaada kwenye usahili utumishi wanakubali kupokea loss report ya kitambulisho Cha taifa kilichopotea?wanahitaji uthibitisho Gani Kwa mtu ambaye kapoteza kitambulisho.
 
Gunia akili waambie bado hujapata ila uma namba tu
 
wala usijisumbue na loss report hawapokei kabisa kabisa. Isipokuwa nenda serikali ya mtaa kachukue barua ya utambulisho Kisha nenda nayo watakupokea bila shida
 
wala usijisumbue na loss report hawapokei kabisa kabisa. Isipokuwa nenda serikali ya mtaa kac uphukue barua ya utambulisho Kisha nenda nayo watakupokea b
wala usijisumbue na loss report hawapokei kabisa kabisa. Isipokuwa nenda serikali ya mtaa kachukue barua ya utambulisho Kisha nenda nayo watakupokea bila shida
Ahsante sana kunijuza hili.
 
Utumishi hawapokei kitambulisho chochote sababu kwenye portal tayari ulushajaza namba yako ya nida, siku ya usahili kama ukiitwa unaenda na vitambulisho vifuatavyo kimoja wapo kama unacho, leseni ya gari, kitambulisho cha kura, au passport
 
Back
Top Bottom