Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

Kiingereza chako ni kizuri sana! Hadi inashangaza kwanini huteuliwi nafasi kubwa kuliko hapo walipokuweka.

Bali kuna kijiswali kidogo cha nyongeza, Je aliyekuwa anazuia Mawazo kuzikwa alikuwa ni huyo huyo Musukuma? Kwa nguvu gani aliyokuwa nayo hadi kuliagiza jeshi la Polisi lipige mabomu waombolezaji?
 
Simba na Yanga wanacheza lini

Ebu tuache izo mambo marehemu asemwi vibaya bana
Tujipe kaz zingne hizi za magu tuachane nazo kwa sasas
Kila mtu anaweza kuua ama kuteka ni suala la maslai tu na heshima huwa haiombwi inachukuliwa kwa nguvu
 
Tusipende sana kutuhumu watu bira kua na uhakika ama ushaidi
Mkisema tuishi kwa rumans tutawatuhumu weng sana
Kifo cha chacha wangwe ni mbowe ndo alimkill hapana io ni tetesi
Je kupigwa risasi lisu je ni mbowe aliusika ama ni jpm, na km tukisema Jpm ndo alihusika swali linakuja kwanini chadema ilienda kumficha shuhuda wa kwnza na muhimu dreva wa lisu.
 

ila inashangaza kujua sultan yuko nyuma ya haya matukio yote
 
Uko nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…