Kwenye Uwanja wa Mapambano (Vitani) huwa kuna mawasiliano yanaendela baina ya pande mbili?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa mfano vita za waasi na majeshi ya serikali, Vita za taifa na taifa Israel na Hamas.

Nazungumzia haswa pale kwenye frontline pale battle field penyewe je vita huwa live masaa 24 hakuna kumpumzika kwamba mnaingia zamu zamu wanajeshi.

Ikiwa ndivyo je kwa siku za kupumzika kunakuwa na makubaliano labda je ni nani anayefanya mawasiliano ya hayo makubaliano kwamba viongozi wa pande mbili huwa wanapigiana simu au hakuna mawasiliano yoyote?
 
Vita ni bampa tu bampa kama mchezo wa mpira wa miguu. Nikupelekeana moto mpaka mshindi apatikane. Lakini kwenye matukio ya muhimu kama sherehe za kidini huwa wanaongea wanasitisha vita kidogo. Reference: vita ya mimi na mke wangu
Hahaha mkuu je kuna chance za kuomba ruhusa au likizo kwa muda
 
Vita ambavyo niliwahi kushuhudia vina mawasiliano ni mkoa wa mara kwa wakurya miaka ya 2004 kurudi nyuma na vilikuwa vya kikoo kati ya waryanchoka sijui na koo gani nshasahau asee asikwambie mtu hakuna watu wakatili kama wale yaan wazee wanakaa pembeni wanapiga pombe huku watu wanapigana panga na mishale afu barabara zinachimbwa hakuna gari ya polisi kufika uwanja wa vita na wakienda wanakula mishale ya kwenda.
Kuna muda wa mapumziko kabsa watu wanakula ugali afu jion wazee wanasimamisha mapigano kesho tena mzgo unaendelea kama kawaida.
 
Chai
 
Kwa mfano vita za waasi na majeshi ya serikali
Vita za taifa na taifa
Israel na hamas
Nazungumzia haswa pale kwenye frontline pale battle field penyewe je vita huwa live masaa 24 hakuna kumpumzika kwamba mnaingia zamu zamu wanajeshi..ikiwa ndivyo je kwa siku za kupumzika kunakuwa na makubaliano labda je ni nani anayefanya mawasiliano ya hayo makubaliano kwamba viongozi wa pande mbili huwa wanapigiana simu au hakuna mawasiliano yoyote?
Yes,mawasiliano yapo...wanatumia sana mtandao wa Airtel kwa kua uwanja wa mapambano mara nyingi huwa nje ya mji.
 
Vita ambavyo niliwahi kushuhudia vina mawasiliano ni mkoa wa mara kwa wakurya miaka ya 2004 kurudi nyuma na vilikuwa vya kikoo kati ya waryanchoka sijui na koo gani nshasahau asee asikwambie mtu hakuna watu wakatili kama wale yaan wazee wanakaa pembeni wanapiga pombe huku watu wanapigana panga na mishale afu barabara zinachimbwa hakuna gari ya polisi kufika uwanja wa vita na wakienda wanakula mishale ya kwenda.
Kuna muda wa mapumziko kabsa watu wanakula ugali afu jion wazee wanasimamisha mapigano kesho tena mzgo unaendelea kama kawaida.
Watu wa huko vichwa vyao huwa vinapata moto hawakogo sawa
 
Vita ni bampa tu bampa kama mchezo wa mpira wa miguu. Nikupelekeana moto mpaka mshindi apatikane. Lakini kwenye matukio ya muhimu kama sherehe za kidini huwa wanaongea wanasitisha vita kidogo. Reference: vita ya mimi na mke wangu
Kauliza huko kusitisha vita kwa muda huwa wanawasilianaje?
 
Back
Top Bottom