Kwenye uzi wa kupeana likes nasikitika sana kusema kila nilicho comment hakuna aliye-like

Kwenye uzi wa kupeana likes nasikitika sana kusema kila nilicho comment hakuna aliye-like

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Sasa naomba members wote msipite hivi hivi bila kulike hii thread

Wee gonga to like then endelea na mambo yako,usijiulize sababu ya wewe kulike ila wewe fanya tu kulike

Huu uzi " Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like" " hawakunitendea haki Deadbody

Wee like tu bila kujali sababu ya kulike,dini wala kabila

Ni mimi Deadbody wa JamiiForums
 
636074358206691355472989184_like-all.png
kama hazijatosha ni pm nikupe nyingine.



Swissme
 
Back
Top Bottom