TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Mapishi yetu ni Yapi? Sisi wenyewe hatuyapendi, Chipsi, Wali, biriani, Maharage, mchuzi wa nyama etc vyakula ambavyo ni common asili yake sio Tanzania.Kama nchi haifahamiki na mambo yake hayafamiki. Watu hawajui kabisa kama TZ ina exist let alone mapishi yake.
Hio list inahusu Africa tu, Ethiopia hapo ana mapishi kama 6, South kama 10, kuna Nigeria etc.Naweza kukubaliana nao, ila sio Tz tu ngozi nyeusi kwa kifupi swala la msosi wenye ladha nzuri bado sana ukilinganisha na race zingine.
Hiyo namba bado ni ndogo sana mkuu, pia haiwezi kuondoa ukweli.Hio list inahusu Africa tu, Ethiopia hapo ana mapishi kama 6, South kama 10, kuna Nigeria etc.
Haya machips kuku tu nayo kula utahesabu nayo kama vyakula vya virutubisho?Hiyo namba bado ni ndogo sana mkuu, pia haiwezi kuondoa ukweli.
Sisi tunajivunia chakula chenye virutubisho vingi ila kwenye suala la ladha nzuri kuna mengi ya kujifunza.
Ni kwasababu wenyeji pia wanapenda vyakula vyenye ladha nzuri bila kuzingatia ubora wa hicho chakula kwenye mwili.Haya machips kuku tu nayo kula utahesabu nayo kama vyakula vya virutubisho?
Ukumbuke mtalii akija nchi hii akitaka hotel ya kula ugali wa mtama ama wa muhogo hapati, atapata tu vyakula ambavyo asili yake sio Tanzania, Chapati, fried rice na Wali wa aina zingine, sisi wenyewe hatuthamini vyakula vyetu hivyo vimekua ni nadra kuipata na kukosa exposure.
Nyie๐๐๐๐Kama nchi haifahamiki na mambo yake hayafamiki. Watu hawajui kabisa kama TZ ina exist let alone mapishi yake.
Wali marage, chips mayai, samaki sijui nyama vyote sio vyakula vyetu ila tunakula kwakuwa vinapatikana kwetu, chukulia kwamfano ukitoa wali kwenye ivyo nilivyotaja hapo juu vingine vinavyobaki vinapatikana kwenye english breakfast na bado anakunywa maziwa na juice na viazi vitamu hiyo yote ni asubui, sasa jiulize mchana atakula nini tena? ivyo wao wana aina nyingi sana ya mifimo ya upishi ila kwetu ukitoa wali, ugali, ndizi, makande unakuwa umemaliza list ya vyakula maana vingine sijui viazi, mihogo, tambi haviliwi sana kama vya apo nyuma, na kusema kweli sisi tuna value quantity na sio quality pia hatuna mapishi mengi kama wenzetu. tumejifunga na aina kadhaa fixed za vyakula, ivyo kwenye iyo list kuonekana ni ngumu sanaKwangu mambo yote ni shega tu!
Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!.
Yawezekana tumefanyiwa tu fitina.
Ina maana hawa waliotoa haka ka listi walijui Zege? (CHIPS MAYAI) au (WALI MAHARAGE)?
View attachment 2930718
Wanajua biriani hawa, aliyeandika kwanza ni nani huyu mtu wasituchosheKwangu mambo yote ni shega tu!

Igali maharagwe ndo umeona pishi la kuwatoa mate watu dunianiKwangu mambo yote ni shega tu!
Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!.
Yawezekana tumefanyiwa tu fitina.
Ina maana hawa waliotoa haka ka listi walijui Zege? (CHIPS MAYAI) au (WALI MAHARAGE)?
View attachment 2930718
Hata ugali hakunaa??..Kwangu mambo yote ni shega tu!