Kwetu kumeanza kunoga na milango iko wazi kwa wote

Mpaka 2030 wote tutakuwa waswahili, mwendo wa kusutana hadi kwa vidole na misemo ya taarabu madume kwa majike.
 
Na Agatha aliyebakwa kwa amri kutoka juu nae?
 
Mikono ina demka. Imezoea kucheza ala za mwambao
 
Mpaka 2030 wote tutakuwa waswahili, mwendo wa kusutana hadi kwa vidole na misemo ya taarabu madume kwa majike.

Hahaha vidole juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…