Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Jambo la kheri kwakweli.Nyanda za juu debe ni sawa na bure
Rais Magufuli anazidi kuchanja mbunga kutupeleka uchumi wa kati
Shilingi ngapi na ni mkoa gani huko nyanda za juu kusini?Nyanda za juu debe ni sawa na bure
Rais Magufuli anazidi kuchanja mbunga kutupeleka uchumi wa kati
kwa roho zao mbaya acha yafe!
Nyinyi mnachokiona kizuri ni kuapelekea Coronakwa roho zao mbaya acha yafe!
Hapo wakenya wanawatamani kinoma MK254Haijawahi kutokea!
Huku kwetu wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga bei ya mazao hususan mahindi ni yakuridhisha kwa kweli.
Bei ya debe moja kwa mfano la mahindi ni tsh 5000 ilhali kabla ilikuwa ni tsh elfu ishirini!
Kilichobaki ni shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu kwa neema hiyo.
Huko kwenu vipi hali ya mazao?
Mungu ibariki Tanzania na timu ya Yanga.
Hapo wakenya wanawatamani kinoma MK254
Hahaha!! wanawapelekea changamoto ya upumuaji kwa roho zao nzuri. Hahah
yaani umeandika kwa hisia kali na uchungu moyoni.poleni sana wakenya.Huku wapi umeniita, sisi tuna hela za kununua, mlime nyie tule sisi.
Sio lazima kila mtu awe mkulima, Kenya ni kainchi kadogo na zaidi ya nusu yake ni kame tupu, hivyo inabidi tutumie akili kujituma kwa namna nyingine na kununua vyakula.
Nyie huko ndio huwa nawashangaa, pamoja na kuwa na nchi kubwa yenye rotuba na madini na kila kitu lakini bado mnatajwa ndani ya maskini wa kutupwa, LDC.
Nilishangaa kuskia eti sukari imekua tatizo kwenu, uvivu huo.
Mkuu hakika Kichwa chako Ni debe tupu ...yaani mahindi yashuke Bei unasema uchumi unapaa!??tungeruhusiwa kutukana ....!Nyanda za juu debe ni sawa na bure
Rais Magufuli anazidi kuchanja mbunga kutupeleka uchumi wa kati