Kwetu sisi CUF, Lwakatare ni kama Okwi na Niyonzima

Kwetu sisi CUF, Lwakatare ni kama Okwi na Niyonzima

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200531_063735_359.jpg
LWAKATARE NI KAMA OKWI NA NIYONZIMA

Kwetu sisi CUF thamani ya Lwakatare ni kama ile waliyonayo wachezaji OKWI na NIYONZIMA shabiki gani wa Simba na Yanga hajui thamani ya Wachezaji hawa wataondoka watatembea huko lakini lazima warudi nyumbani na viwango vyao vinabaki kuwa juu"
 
Hamna ishu sasa hivi, hamna mvuto tena, mko nyuma ya ACT na hata NCCR wanaenda kuwazidi. Mtabaki kama TLP'. Mtaishia kuwa mamluki wa Chama Twawala.
 
Mmekubali kumhifadhi nyoka sasa ameanza kuwatafuna
 
Chadema watakataa watasema ni kama Juuko Murshidi,beki mtembeza viatu
 
Yaani chama kinajaribu kubalance majina ya wachezaji wa simba na yanga aibu kubwa hii!
 
Back
Top Bottom