CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 May 31, 2020 #1 LWAKATARE NI KAMA OKWI NA NIYONZIMA Kwetu sisi CUF thamani ya Lwakatare ni kama ile waliyonayo wachezaji OKWI na NIYONZIMA shabiki gani wa Simba na Yanga hajui thamani ya Wachezaji hawa wataondoka watatembea huko lakini lazima warudi nyumbani na viwango vyao vinabaki kuwa juu"
LWAKATARE NI KAMA OKWI NA NIYONZIMA Kwetu sisi CUF thamani ya Lwakatare ni kama ile waliyonayo wachezaji OKWI na NIYONZIMA shabiki gani wa Simba na Yanga hajui thamani ya Wachezaji hawa wataondoka watatembea huko lakini lazima warudi nyumbani na viwango vyao vinabaki kuwa juu"
B Beem JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 1,630 Reaction score 2,435 May 31, 2020 #2 Hamna ishu sasa hivi, hamna mvuto tena, mko nyuma ya ACT na hata NCCR wanaenda kuwazidi. Mtabaki kama TLP'. Mtaishia kuwa mamluki wa Chama Twawala.
Hamna ishu sasa hivi, hamna mvuto tena, mko nyuma ya ACT na hata NCCR wanaenda kuwazidi. Mtabaki kama TLP'. Mtaishia kuwa mamluki wa Chama Twawala.
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 May 31, 2020 #3 Mwambieni ajenge stend bukoba
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 May 31, 2020 #4 Mmeishiwa mipango baada ya kukubali kukiuza chama kwa vipande 30 na kuwa mke mwenza wa ccm
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 May 31, 2020 #5 Stend imeanza kujengwa kule KYAKAILABWA kwa fedha za mabeberu Slowly said: Mwambieni ajenge stend bukoba Click to expand...
Stend imeanza kujengwa kule KYAKAILABWA kwa fedha za mabeberu Slowly said: Mwambieni ajenge stend bukoba Click to expand...
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 May 31, 2020 #6 Mmekubali kumhifadhi nyoka sasa ameanza kuwatafuna
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 May 31, 2020 #7 Chadema watakataa watasema ni kama Juuko Murshidi,beki mtembeza viatu
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 May 31, 2020 #8 Cuf +Nccr+Act+Tlp hivi vyote niccm tu hapa Tz vyama niviwili tu Chadema na ccm
L lukoma JF-Expert Member Joined Jul 1, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,246 May 31, 2020 #9 Okwi au Nionzima hawezi jiunga na Njombe mji
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 May 31, 2020 #10 Yaani chama kinajaribu kubalance majina ya wachezaji wa simba na yanga aibu kubwa hii!