Kwetu sisi waislamu, tunaamini umasikini ni dalili ya kiama

Usilete siasa katika dini yote uliyoeleza hayana ushahidi wa aya wala hadithi.
Dini ya kiislamu imejengwa katika misingi ya kufuata Qu'ran na hadithi za mtume.

Lakini hii thread yako haina ushahidi wowote kutoka katika dini.
aiseee
 
Usilete siasa katika dini yote uliyoeleza hayana ushahidi wa aya wala hadithi.
Dini ya kiislamu imejengwa katika misingi ya kufuata Qu'ran na hadithi za mtume.

Lakini hii thread yako haina ushahidi wowote kutoka katika dini

Soma kwa mazingatio. Kwa akili iliyo salimika

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…