Kwetu Wote Wanaume Wakware

Kwetu Wote Wanaume Wakware

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
45,678
Reaction score
63,304
UNAAMBIWA haya ndiyo mataifa yanayoongoza kwa kuwa na wanawake wenye muonekano mzuri zaidi duniani (warembo)

(10) Brazil
(9 )Argentina
(8 )Philippines

(7 )Australia
(6 ) Africa kusini
(5 )Sweden
(4 )Puerto rico

(3 )India
(2 )Marekani
(1 )Venezuela

Chanzo Millardayo

Hiyo orodha ni nchi Ambazo zenye watoto wakike wazuri matata " kwa wale wanaume wenye uwezo kiuchumi " mnaweza kwenda huko nakujipatia kitu roho inapenda " ....

FB_IMG_1543651161397.jpeg
FB_IMG_1543651172282.jpeg
FB_IMG_1543651179278.jpeg
 
Mbona hii list kama ina ukakasi.

Waafrika hatupo?
Which is which?
Why?
Wazungu tupu hapo.
Vi wooonder
 
Wanamabichwa makubwa tukiwanyoa vipara hao... Watakua vituko.
 
Uyo si muhindi.

Yan nakwambia kwanza hawanaga shepu kali sana.
Ukiwanyoa hao, ukawapa kazi mashineni, huwez kufikiria kama niwarembo hata kidogo
Hahaa .. acha basiii " umemuona ile picture ya kwanza ya juu lakini !!?
 
South africa kumbe " ipo Europe " ? Nikikwambia achaga kupiga nyeto unabisha nakuanza kuniona mbaya
Hao uliowataja bora uishie kuwaona tu kwenye tv na mitandaoni lakini ukiwaona laivu utawaona wa kawaida?
Lini uliniambia niacha kupiga punyeto?
 
Uyo si muhindi.

Yan nakwambia kwanza hawanaga shepu kali sana.
Ukiwanyoa hao, ukawapa kazi mashineni, huwez kufikiria kama niwarembo hata kidogo
Ukawatwika na ndoo za maji, ukawapa na baby care wajipake
 
Umewamaliza,

Mm nina kachumba huku hata hakajipodoi podoi, ila kanavutia hatar, shepu imebalance hatar
Sio mrefu sio mfup
Tako sio kubwa, wal sio dogo
Sio mweus wala sio mweupe
Yannn niamsha,
Ukawatwika na ndoo za maji, ukawapa na baby care wajipake
 
Hao uliowataja bora uishie kuwaona tu kwenye tv na mitandaoni lakini ukiwaona laivu utawaona wa kawaida?
Lini uliniambia niacha kupiga punyeto?
Katika ule uzi wako wa ile simulizi ya " jini " by the way mimi nimefikisha tu habari toka kwa millardayo " haimaanishi kwamba nimevutiwa na hao ma chicks
 
Umewamaliza,

Mm nina kachumba huku hata hakajipodoi podoi, ila kanavutia hatar, shepu imebalance hatar
Sio mrefu sio mfup
Tako sio kubwa, wal sio dogo
Sio mweus wala sio mweupe
Yannn niamsha,
Hahaa aisee
 
Back
Top Bottom