Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Mtali chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.htmljamani naomba kufahamishwa tatizo la kwikwi kwa mtu mzima linatokana na nini? Nini athari zake? je kuna matibabu ya kwikwi?
Mkuu distazo badala ya kumpa jamaa Dawa ya kwikwi wewe unatutukana Eti Sie Wazaramo tunauwanakwa maradhi ya Kwikwi? ahhhhhhhhhWazaramo wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa kwikwi waulize watakujibu.
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Mtali chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html
Mkuu distazo badala ya kumpa jamaa Dawa ya kwikwi wewe unatutukana Eti Sie Wazaramo tunauwanakwa maradhi ya Kwikwi? ahhhhhhhhh
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Mtali chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html
Mkuu distazo badala ya kumpa jamaa Dawa ya kwikwi wewe unatutukana Eti Sie Wazaramo tunauwanakwa maradhi ya Kwikwi? ahhhhhhhhh
mkuu Mtali nimeshakupatia tumie uje unipe maendeleo yako mkuu nataka unipe Feedback.
Thank U very much ndugu......... Its my hope naweza kujitibia kwa hili....
mkuu distazo nimesha mpatia dawa au soma tena hapa Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@MtaliMpatie basi dawa. Huu ni kama ugonjwa wa Glaucoma kwa wagogo kama late RIP Matonya
mkuu Mtali Muwa Mweui nliokusudia ni huu mkuu ni dawa ya huo ugonjwa wa kwikwi kuna mtu mmoja nilimpa humu jamvini dawa hiyo alipona hebu angalia muwa wenyewe jinsi ulivyo tumia kisha uje unipe feedback.Ila nimepata shida ya kuupata Mua mweusi....... Ni miwa ipi ambayo unamaanisha..... MziziMkavu
mkuu Mtali Muwa Mweui nliokusudia ni huu mkuu ni dawa ya huo ugonjwa wa kwikwi kuna mtu mmoja nilimpa humu jamvini dawa hiyo alipona hebu angalia muwa wenyewe jinsi ulivyo tumia kisha uje unipe feedback.
Doctors wanaweza kuwa na a better solution but in the meantime;
Mwambie ajaribu kuongeza kiwango cha maji anachokunywa kwa siku,
Pia mazoezi huwa yanasaidia, hata akiwa anafanya sit-ups first thing kila akiamka asubuhi itasaidia.
Mkuu Mtali wewe uliweka Thread kama hii ya Kwikwi kuuliza matibabu yake na mimi nilikupa sasa leo hii unatoa dawa yake? Ahhh hebu soma hapa ninakukumbu shabonyeza hapaHata mimi hili tatizo nilikuwa nalo kuna dawa ambayo nilitumia mwaka 2010. tatizo lilitulia likanianza tena wiki iliyopita. Kuna ndugu yangu humu JF alinishauri nitumie juisi ya miwa mwekundu iliyochanganywa na asali safi. Hebu jaribu hiyo.
Ila kwa niliyotumia mwaka 2010 ilikuwa vidonge vinaitwa DIACEPSINE. Ila kwa ushauri wa daktari nilimeza kimoja tu. hebu cheki namna ya kuresque hiyo hali.
Mkuu.@muuza ubuyu pole sana kwa huyo ndugu yako kuumwa na hiyo Kwikwi mimi nitakupa Dawa yangu ya Tiba Mbadala ikimsaidia ndugu yako usikose kuja hapa na kutoa shukran zako usipotee na njia tu tafadhali.
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.
Muwa Mweusi.
Chanzo: https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/334455-tatizo-la-kwikwi-kwa-mtu-mzima.html
Mkuu.@muuza ubuyu Dozi yake ukamuwe muwa kiasi cha kupata japo kikombe cha kahawa uchanganye na Asali safi mbichi ya Nyuki kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali awe anakunywa kutwa mara 3 kwa siku mpaka atakapo pona ache kutumia tena.Asante sana kaka mgonjwa yupo hospitali kwa sasa ngoja nije niwapigie kuwaambia aina hii ya dawa! Nitakupa feedback! Vipi kweli dozi yake sasa inaendaje?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu.@muuza ubuyu Dozi yake ukamuwe muwa kiasi cha kupata japo kikombe cha kahawa uchanganye na Asali safi mbichi ya Nyuki kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali awe anakunywa kutwa mara 3 kwa siku mpaka atakapo pona ache kutumia tena.
I appreciate Ur concern@Mzizimkavu. Kwa wakati huo nilishindwa kabisa kutengeneza hiyo dawa kuokana na Mazingira ninayoishi.......kwa sasa ila kwikwi ilitulia yenyewe..... but It is still in my memory. Dhamira yako ni nzuri.....Mkuu Mtali wewe uliweka Thread kama hii ya Kwikwi kuuliza matibabu yake na mimi nilikupa sasa leo hii unatoa dawa yake? Ahhh hebu soma hapa ninakukumbu shabonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/334455-tatizo-la-kwikwi-kwa-mtu-mzima.html