Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo yoyote.
Aidha, ametoa wito kwa wananchi ambao wagombea wao wameshinda, kusherehekea kwa ustaarabu, ili Kwimba iendelee kuwa salama.