Kwinini(Quinine) kwenye soda ya Schweppes ya nini?

double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
2,399
Reaction score
2,541


Jana mdogo wangu kaleta hii soda. Akawa ananishawishi niionje na akanieleza kwamba sio kama soda za tonic water nyingine. Hii ni tamu.

Nikaona niisome ingredients zake. Nkatekewa kuona kwinini ipo. Na hapo ipo kundi la antioxidants na kiwango chake wameandika ni 8mg/l.

Nimejiuliza maswali kadhaa lakini kila jibu linazaa kwa nini.

Kwa nini kwinini kwenye soda?

Najua humu watakuwepo hata hao wanaohusika na utengenezaji wa soda huko cocacola na wenye uelewa tafadhali mnifungue macho.
 
Lkn nadhani sio issue sana maana hata cocacola soda pendwa ina cocaine material ila sidhani kama ni zile wanazopewa mateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…