Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM


Kama hilo ndilo tatizo lake, kwanini hamumshauri aachane na hao wenye harufu ya ufisadi? unajua inawezekana huyu bwana Mwakalinga sio fisadi na mimi sitaki kuamini kwamba ni fisadi lakini kwa kujihusisha na watu ambao tayari sehemu kubwa ya watanzania inaamini kwamba ni mafisadi, basi moja kwa moja anakosa support yao, ndio maana hata hapa jamvini unaona watu wanamjadili saaaana. Muambieni ajitahidi kujiepusha na hao wafisadi kwani watamuharibia mbio za kuingia mjengoni, inawezekana wanakyela wangemhitaji lakini akakwamishwa na ushirika na mafisadi.
 
lol sasa mbona mwanatuchanganya? si alikataa kuwa hakuwa huko kyela kwa ajili ya kuanza kampeni za chini chini? SteveD nafikiri atakuwepo eapoti...steveD say some dude...
Unachanganyikiwa nini? hata Sumaye alitangaza kuwa atagombea urais kabla ya muda kuanza.
Safari njema na tupo tunaandaa battle plan ya 2010
Kgwamaka
 
Huyu Mwakalinga msanii tu,haeleweki hata kidogo,mara aseme hili mara lile.

Wewe utakachomwelewa Mwakalinga ni pale atakaposema NAJITOA NA NAMWACHIA MWAKYEMBE.muda wote wewe tu huelewi kwanini?tajiri wako tulimpa miaka 5 na inakwisha,hatutaki story za Richmond,umeme wa upepo wala mambo ya Kitaifa..Hapa ni umefanya nini hapa kyela hiyo miaka 5
 
.

Tunakushukuru sana kalengama.

Tunakutakia afya njema mwakalinga uje utukomboe wanakyela dhidi ya huyu chizi mpenda makuu.Kila msafara wake anaongozana na wandishi wa habari.

Labada ni wakumbushe kidogo vitu ambavyo mwakalinga kawafanyia wananchi wa kyela.

Anamiliki Hotel kubwa ambayo vijana wa kyela wanameajiliwa hapo.Anamiliki radio(Kyela Fm radio) ambayo inasikika mkoa wa mbeya wote.Ana miliki supermarket kubwa sana ambayo ni kioo cha wana kyela na wengi wameajiliwa hapo.

Ana ukumbi wa kisasa ambao ni full kipupwe.

Pumbavu Nsesi upo?
 
Sisi inatusaidia nini kama huyo Mwakalinga wako anaondoka kwenda London,wangapi wanaenda london bwana wewe.
Acha ushamba wa kuwapaisha watu,bwana kama unampenda sana huyo Mwakalinga KAMPIKIE CHAI
 
Ushirika wa wachawi huwa haudumu, Zingatia hili Mwakalinga aka Mta.....
 

alimtoa Lowassa wapi?i miss a point here.Let discuss with facts an sio ushabiki wa ovyo ovyo..Mi ninachojua Lowassa alijiuzulu.
 

Calculated move....
 

Jamani, hivi vyote si private investmements zake? Kwani anawagawia profit anayopata? Je, mnaingia bure kwenye huo ukumbi au kupewa special discounts kwa wana Kyela kwenye hiyo Supermarket yake kubwa? Vyote hivi amefanya kwanza kwa faida yake binafsi, period. The rest ni by-product ambayo inavyoonekana inaweza kulipa zaidi kuliko the main products kwa mawazo kama haya.
 

Duh, ndugu yangu. Kumiliki duka au redio ndo qualifications za Ubunge? Toka lini biashara ya mtu ikawa mali ya wote? Ama kweli, Wanyakyusa mmekwisha![/SIZE]
 

Yaani timu Mwakalinga imejipanga kweli kwenye message.

Kusoma na kuishi ulaya, kugawa laptop, kumiliki hotel na radio, kumiliki supermarket kubwa sana, na kubwa kwa yote ...... kutoa matusi kwa wale wapinzani wao.

Bahati nzuri (good luck) huko muendako. Nawaombea mfike salama.
 
Acheni kudidimiza demokrasia kwa kudhani kuwa ndugu mwakalinga kwa kuonyesha nia ya kugombea kyela iwe nongwa -ati kuna vigogo wanataka agombee. Hizi ni zama za ushindani siyo lazima mtu aletwe cha msingi ni kuuzika. Hakuna mbunge ambaye ana haki ya pekee katika jimbo na kwamba mtu mwingine akitaka kugombea inakuwa vita.
Hivi sasa tunataka fikra mpya na ningekuwa na uwezo ningependekeza ubunge uwe na ukomo maana kuna baadhi ya wawakilishi wetu wanadhani wapo hapa duniani kutuwakilisha bungeni hadi kifo
 
- Sijaziona hizo dataz so far za kunifanya niamini kwamba George ni fisadi, na siwezi kuita mtu fisadi bila kuwa na facts au dataz,


Ndio maana nikakukumbusha kuwa si kila kitu kinatokea Tanzania lazima ukione. Unakumbuka ulichosema kuhusu Masha hapa jamvini? na unakumbuka matokeo yake?

Usikimbie kwenye hitimisho kwenye issue ya George Mwakalinga. Inawezekana unadhani kuwa unamfahamu lakini naomba sana usikilize ushauri uliopewa na mzee Masanilo kuhusu hii issue huku naye akikukumbusha swala la Masha.

Respect and Out.

FMEs!

Respect kwako pia mkuu,

Upande wangu na dataz zangu zaonyesha kuwa kampeni ya Mwakalinga inaendeshwa na kundi la Mwakipesile (mafisadi wa Kyela) na pia Kikwete na mtoto wake wanahusika kwenye michango ya bwana Mwakalinga.

Kwangu mimi, hakuna ufisadi wa wazi kama huu (unless ukikataa kuwa Kikwete na mtoto kazi yake kampuni la kifisadi la IMMA sio mafisadi).

Respect kwako pia ... na unakaribishwa muda wowote.
 


Mwafrika, mawazo yako yanaelekeana na yule mpumbavu Kalengama kwa kudai kuwa Mafisadi wako karibu na Mwakalinga. Kalengama ni mwongo na hatukumbuki kuwa na mwandishi wa habari kama huyo Kyela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…