Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

Alikuwa anatafuta bikra kwa binti mdogo wa miaka 13??
Hukumu aliyopewa haitoshi ilitakiwa naye atiwe kitu kwenye "tigo" yake.
 
oya weee 🤣 fungua PM
 
Hizi case za Walimu kubaka na kulawiti wanafunzi, nyingi ni za kubambikiwa,
Km kisasi au komesho baina ya wagomvi wawili, Walimu kueni makini huko mashuleni, sio sehemu salama kwenu.

Msisemee hamjaambiwaa.
 
Wanaimbaga mtoto kautaka uyooo ati kawaletea wahuni shobo, na baba yao jaival.
 
Hizi case za Walimu kubaka na kulawiti wanafunzi, nyingi ni za kubambikiwa,
Km kisasi au komesho baina ya wagomvi wawili, Walimu kueni makini huko mashuleni, sio sehemu salama kwenu.

Msisemee hamjaambiwaa.
Wanavinyandua Bwana vibinti vyetu na hapo kasha pewa onyo zaidi ya Mara tatu

Plato apite naye tu kwa kweli hata mi Sina msaada nae
 
Mimi mwalimu nipo makini na vibinti sitaki shida......hata hivyo nakaribia kuachana na hiyo kazi.
 
Waalimu kaeni mbali na watoto wa kike vinginevyo mtaishia jela. Inawezekana huyo binti wa miaka 13 ni wale wenye miili mikuwa na bonge la kalio mwalimu uzalendo ukamshinda. Kuliko kutaka kutafuna mwanafunzi bora ujiunge CHAPUTA.
Wakichoka kutia nyeto waende kununua malaya kama huyo ticha angeenda Kyela pazuri, huu msemo wao wa kusema wanafunzi ndio posho zao wataishia ngome
 
Waalimu kaeni mbali na watoto wa kike vinginevyo mtaishia jela. Inawezekana huyo binti wa miaka 13 ni wale wenye miili mikuwa na bonge la kalio mwalimu uzalendo ukamshinda. Kuliko kutaka kutafuna mwanafunzi bora ujiunge CHAPUTA.
Chaputa shida kulata huo mlenda vugu vugu mwanawane.
Ila kwa kweli hizi mahakama za uzushi. Hapa ingekuwa taliban mambo tungeshayamaliza kitambo na mtu yupo six feet under.
 
Alirudishwa kazini?
 
Waalimu kaeni mbali na watoto wa kike vinginevyo mtaishia jela. Inawezekana huyo binti wa miaka 13 ni wale wenye miili mikuwa na bonge la kalio mwalimu uzalendo ukamshinda. Kuliko kutaka kutafuna mwanafunzi bora ujiunge CHAPUTA.
Utu uzima unapimwa kwa umri na siyo umbo. Wewe unaona mwanafunzi yuko primary halafu bado unalala naye? Nyie mafisi-mm mnawaza ngono muda wote ndiyo maana viongozi wenu wanaishi kwenye kashfa mpaka za kukoboana.
 
Kama una matatizo ya kiafya nenda hospitali sio kuja JF kulilia watu.
 
So sad...

Amemuachia mtoto POSTTRAUMATIC STRESS DISORDER secondary to childabuse....

May Almighty God heals the child , amen [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…