Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde .
Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa vibali vya vikao vya ndani vya vyama vya siasa , kinachotakiwa ni vyama vinavyokuwa na vikao vyao KUTOA TAARIFA KUHUSU VIKAO HIVYO KWA JESHI LA POLISI baaasi .