Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chato kuwa Geneva teh teh teteh....HAO NI WALETA FUJO TU SASA KAMA HAWAKUTOA TAARIFA KWAPOLISI KWANINI WASIPIGWE KABISA
Chato kuwa Geneva teh teh teteh....
Mungu ibariki CHADEMAHii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde .
Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa vibali vya vikao vya ndani vya vyama vya siasa , kinachotakiwa ni vyama vinavyokuwa na vikao vyao KUTOA TAARIFA KUHUSU VIKAO HIVYO KWA JESHI LA POLISI baaasi .
View attachment 1916640
Hivi Chato kunani jamani , kitovuni inakuaje..πππChato kuwa Geneva teh teh teteh....
AminaMungu ibariki CHADEMA
Hivi Chato kunani jamani , kitovuni inakuaje..[emoji1][emoji1][emoji1]
Hawa Polisi wanahusikaje na mikutano tena ya ndani? IGP unalo la kujibu kwa wananchi usiwafanye mazuzu!!Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde .
Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa vibali vya vikao vya ndani vya vyama vya siasa , kinachotakiwa ni vyama vinavyokuwa na vikao vyao KUTOA TAARIFA KUHUSU VIKAO HIVYO KWA JESHI LA POLISI baaasi .
View attachment 1916640
Kuna kitu mama anakitengeneza na atajutia siku si nyingi!Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde .
Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa vibali vya vikao vya ndani vya vyama vya siasa , kinachotakiwa ni vyama vinavyokuwa na vikao vyao KUTOA TAARIFA KUHUSU VIKAO HIVYO KWA JESHI LA POLISI baaasi .
View attachment 1916640
Tumeonya sana lakini tumepuuzwa .Kuna kitu mama anakitengeneza na atajutia siku si nyingi!
Nyinyi mnatuhumu ushahidi hamna lakni policcm wamethibitisha Kwa hamnza ni gaidi.hiki chama cha magaidi kisichekewe hata kidogo lazima washughulikiwe bila huruma wasituchafulie Amani yetu.
bana mbavu mpaka watie adabu.