Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maelezo mkuu, picha peke yake naona kama bado haijafikisha ujumbe. Au hii ni kwa wale wateule wachache?
Nimekupata mkuu,Mratibu wa Kitaifa wa Shirika la Kazi Duniani(ILO) Bi. Rhoda Mwamunyange (katikati) akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kyela kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Jimbo hilo hivi sasa liko chini ya mheshimiwa Dkt Harrison Mwakyembe. Wengine kushoto ni Mpambe wa Rhoda na kulia ni Ofisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Mwirabi Sise.
Ndo manake
nimetumwa na nani?
Jina lake halina extension, mfano Rhoda Mwamnyange-Asumwise(Macha)Masanja) nk nk au jina la Mwamunyange ndio lilo na uzito zaidi.