Kyela: Wazee waanza kujisajili CHADEMA Digital kwa kishindo

Kyela: Wazee waanza kujisajili CHADEMA Digital kwa kishindo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hali hii imeanza kuleta mashaka ndani ya chama cha zamani baada ya mtaji wake wa miaka mingi ambao ni wazee kuanza kumeguka kwa kasi .

Shida kubwa inayoikumba ccm Kyela ni sera yake mbovu ya kurudisha vyama vya Ushirika vinavyowakopa wakulima mazao yao ikiwemo cocoa , badala ya makampuni binafsi yaliyokuwa yananunua kwa cash , makampuni binafsi yamepigwa vita na kusababisha dhiki kwa wakulima .

CCM imekataliwa Kyela kwa moyo mkunjufu kabisa ili kupiga vita umasikini.

Video :

 
Back
Top Bottom