Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408.

--
Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS):

1. Chumba cha walinzi: Milioni 7
2. Uzio: Milioni 94.2
3. Jengo la ofisi: Milioni 253.8
4. Stoo: Milioni 51.55.


Tanesco 1.jpg

Jengo la walinzi lililogharimu Tzs Milioni 7.3

Tanesco2.jpg

FB_IMG_1632201620432.jpg

 
Acha tuendelee kudemka tu na kuwaumiza wapinzani wetu huku genge la wezi likilitafuna taifa
 
Eti shirika linajiendesha kihasara na lina madeni ya mabilioni. Upigaji kila eneo.
 
Yaani ukiona gharama za kununua umeme ukiongezeka jua ni upigaji umeongezeka sio maendeleo...
 
Tunapigwa sana. Kwa kawaida hapo ilitakiwa iwe ngapi?
 
Back
Top Bottom