The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mbona bei chini sana alafu kibanda kikaliNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
[emoji38][emoji38][emoji38]Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwanho (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa 7.5M...
Dah..ameandika na yeye maoni yake..Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M....
Mkuu nimependa Sana post hii, ccm na mfumo wao wote wezi,niliona angalau waziri mkuu alikataa , KIBANDA ambacho hata laki 7 hazifiki eti m7 pumbavu kabasaNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Tunazungumza kulipa sio kujengaTukikuambia kimejengwa enzi za mwendaji utakuwa tayari kuomba radhi ?
Kwani mfuko mmoja wa cement unajenga tofali ngapiNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Tofali ngapi hapo zimeingia labour charge ni kiasi ganiNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
hivi unabisha nini? haya tupeni bei ninyi sasa!Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Pale kulikua na mkandarasi wa tanesco yule mama na yeye mwenyewe kabaki amedua hajui maswali anayoulizwaKwa mwendo huu, wa kila mtu kujifanya mthamini majengo, wakandarasi wote watafunga ofisi zao Bongo!
Hebu bwana mkandarasi tupe mchanganuo wa gharama (standard) za hicho kibanda, like idadi ya tofali, mifuko ya saruji, mondo, mbao, mchanga, fundi, nk.Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M....
Kwanini wasingetangaza tender ili watu washindanie wenye ujuzi wao kutokana na bajeti waliyonayo iNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
yaani iko chumba ki1 ndo utumie M7?Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M...
Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M...
Laki 7 inafika na kupita lets says 4M approximate but not 7.5milionMkuu nimependa Sana post hii, ccm na mfumo wao wote wezi,niliona angalau waziri mkuu alikataa , KIBANDA ambacho hata laki 7 hazifiki eti m7 pumbavu kabasa
Nimekuelewa. Simenti mwaka jana mwanzoni tu ililiwa shs 13,000. Ikaja fika hadi 24000. Sasa ni 18000. Gypsum zilikuwa 11,000 sasa ni 17,000. Bati, rangi, kila kitu kimepanda bei. Wakati kipato cha Mtz hakijapanda bei. Kazi ipo.hivi walitaka kijengwe kwa shilingi ngapi?
watu kwa sensational news jamani...
Hio ni sawa na bei ya kujenga kitu kama hicho kwa nchi iliyoendelea kama USA tu ambapo mshahara wa mtu ni USD 50 kwa saa. Basi kujenga Tanzania sasa watu tuache kwanza.Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521