Nyie ndio watu mnakatishaga watu tamaa wakitaka kujenga. Tofali hapo hata 300 hazifiki..acheni mentality za upigaji.hivi walitaka kijengwe kwa shilingi ngapi?
watu kwa sensational news jamani
nchi nzima ipo policized
kibanda mil 7 sawa kabisa,kina madirisha ya aluminium na vioo kabisa na mlango wa gharama,hivyo ni mil4 kasoro
bati ya kisasa hapo juu,tofali,cement,ufundi,rangi na ndani paa ni gypsum na rangi zake
Mil 7 ni ndogo
Nakubaliana na wwNyie ndio watu mnakatishaga watu tamaa wakitaka kujenga. Tofali hapo hata 300 hazifiki..acheni mentality za upigaji.
Hakika.. Tuache kujenga..tule dona (sio kantri) tuHio ni sawa na bei ya kujenga kitu kama hicho kwa nchi iliyoendelea kama USA tu ambapo mshahara wa mtu ni USD 50 kwa saa. Basi kujenga Tanzania sasa watu tuache kwanza.
Hicho ni ft 8 kwa ft 8 kwenda juu ft 9.Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Upigaji wa Pesa za Umma umeanza kwa Kasi ya 4GNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Usishangae sana.....Daah!!
Upigaji ni upigaji. Kila awamu imekuwa na wapigaji wake
Mkuu hapana nakuja kwenye uchambuziLaki 7 inafika na kupita lets says 4M approximate but not 7.5milion
Usichukulie ujenzi wa mbwinde huko ukaleta kwenye ujenzi wa kiserikali.Mkuu hapana nakuja kwenye uchambuzi
1. Hako hazidi matofali 200,inch 5x5
2 , siment sio chini ya mifuko 6
3, bati na mbao za kupaua sio chin ya 200,
4 fundi wa kukijenga ,kupaua , plaster , sio juu ya laki tatu
5, hivyo vidirisga ,kuweka vigae, hazidi laki mbili, Sasa Iyo 4 m inatoka wapi? Wizi tu,
Nothing...!Hata mimi nawashangaa,
Sijui 7.3 milioni wanadhani pesa nyingi!
Mlango na madirisha tu hapo karibu ml.2 zimekata.Nothing...!
Hata kama msimamizi amekula, basi sidhani hata kama imefika 3K...!
Wakiambiwa mfumo wetu wa uongozi una tatizo hivyo unahitajika kufumuliwa na kusukwa upya ili loopholes kama hizi zidhibitiwe, wao ''ohoo subiri tujenge uchumi kwanza''. Haya wajenge sasa. Hii movie za kiongozi kuhoji gharama za ujenzi na kujifanya kuzira tumeshaziona sana na zinaendelea kufumuka kila siku. Hawawezi kuona kuwa kuna walakini? Mwafrika ni nyani!!Hahahahahaha. Akina Zerro wanakimbizana na ugaidi fake wanaacha magaidi wa uchumi wetu wanafurahi maisha tu. Huu ni wizi.
Hizo bati ni upande mmoja tu? ALAF wanauza 1m kwa Tsh. 18,000/= hadi 20,000/= kwa 10ft ni Tsh. 54,000/= hadi 60,000/=. Kwa bati 4 ni Tsh. 240,000/= bado hujapeleka Site.Hicho ni ft 8 kwa ft 8 kwenda juu ft 9.
Jipsa board ni 2= shs 34000
Mabati kama ni yale ya 10ft simba si zaidi ya mawili na nusu. Shs 50,000. Hayo tuseme ni shs 100,000.
Mlango na madirisha complete tufanye 700,000 tshs kwa kuwapendelea.
Rangi si zaidi ya lita 20 hizo za green na yellow. Na maji nyeupe si zaidi ya lita 60. Hapo kwa rangi nyeupe ni 120,000. Hizo za special ni 135,000.
Mbao drafting na kupaulia za pine pisi ya mita 5 ni shs 10,000. Hazizidi 100,000.
Matofali block 8ftx8ftx9ft yataingia 64 kila line. Ila kuna milango na madirisha. Si zaidi ya 600. Sawa na 600,000 tshs.
Simenti mifuko 20 inatosha = 360,000.
Jumla= 34000+100000+700000+135000+120000+100000+600000+360000. Jumla materials si zaidi ya 2 million tena kwa bei za juu za sasa.
Ukipewa wewe hiyo 7.3M usimamishe jengo kama hilo kwa standard ya serikali, utashangaa sana utakavyoteseka...!Mkuu hapana nakuja kwenye uchambuzi
1. Hako hazidi matofali 200,inch 5x5
2 , siment sio chini ya mifuko 6
3, bati na mbao za kupaua sio chin ya 200,
4 fundi wa kukijenga ,kupaua , plaster , sio juu ya laki tatu
5, hivyo vidirisga ,kuweka vigae, hazidi laki mbili, Sasa Iyo 4 m inatoka wapi? Wizi tu,
Watu wanachukulia ujenzi kama kufanyana matusi yani. Wanajua unaingiza na kuchomoa basi. Hawajui kuna complications nyingo sana.Ukipewa wewe hiyo 7.3M usimamishe jengo kama hilo kwa standard ya serikali, utashangaa sana utakavyoteseka...!
There are so many factors to consider ktk ujenzi na zote zinakula fedha..
Mathali ipo ya umbali, transportation, hali ya upatikanaji wa construction materials MF. nchanga, maji etc..?
Unafahamu kuwa kuna maeneo mengine hususani huko wilayani na vijijini upatikanaji wa maji tu ni gharama kubwa kuliko akili yako inavyoweza kufikiri..?
Hao wote ni bado wapangaji ndugu. Bado wanajua kulipa kodi za nyumba za watu, lakini hawajui mtu ana toil kiasi gani kumiliki nyumba..Watu wanachukulia ujenzi kama kufanyana matusi yani. Wanajua unaingiza na kuchomoa basi. Hawajui kuna complications nyingo sana.
Hatari sana mkuu..Hao wote ni bado wapangaji ndugu. Bado wanajua kulipa kodi za nyumba za watu, lakini hawajui mtu ana toil kiasi gani kumiliki nyumba..
Kuna rafiki yangu mwajiriwa wa kampuni moja Mwanza alikuwa na mawazo kama ya wengi humu, ya kudhani ujenzi ni ishu ndogo ya kawaida isiyohitaji misuli...
Akapiga hesabu za juu juu tu za ujenzi. Akaingia benki na kukopa kama 12M. Akaziingiza kwenye ujenzi wa nyumba ya vyumba 4 na sebule...
Nyumba ilishia kozi NNE baada ya msingi hela ikakata.. Anasubiri tena miaka minne amalize mkopo alionao sasa ili akope tena na kisha aipeleke peleke tena..
Mpaka sasa bado mpangaji..!!