Kylian Mbappe ameomba aanze kucheza akitokea pembeni

Kylian Mbappe ameomba aanze kucheza akitokea pembeni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe amechoshwa na mfumo wa kutumika kama mshambuliaji wa kati jambo ambalo anaamini kuwa imesababisha kuwa na mwanzo mbaya Madrid.

Kylian Mbappe ameomba atumike pembeni anakocheza Vinicius Jr akiamini ndio mahali ambapo hucheza vizuri, Amesema kutumika kama mshambuliaji wa kati ni jambo ambalo kwake linampa shida kulizoea.
1730888385785.png
 
Thank you kwa Carlo iko karibu sana kuliko umbali wa pua na mdomo.

Carlo ana wachezaji bora wengi ila ameshindwa kutengeneza timu bora
 
Vini na Mbappe wote ni wazuri wakitokea pembeni hasa kushoto. Nani aanze nani akae benchi.

Sancho + Garnacho + Rashford
 
Thank you kwa Carlo iko karibu sana kuliko umbali wa pua na mdomo.

Carlo ana wachezaji bora wengi ila ameshindwa kutengeneza timu bora
Ameshindwa vipi na kachukua UEFA iliyopita?. Na Laliga juu.
 
Lilikuwa ni suala la muda tu, Mbappe hawezi kucheza kati, ni mzuri akitokea kushoto... Huu ni mwiba mgumu kwa don carlo, sijui atafanyaje..
 
Alidhani Real Madrid ni sawa PSG.
Aendelee kuteseka maana ni ngumu sana yy kumuweka benchi Vinicius Jr.
 
shida yake hakabi huwa anaangalia tu kawa mzito ata huko pemben hapawez
 
Back
Top Bottom