Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
🤣 hajazoea kucheza kati huyuMjinga huyo
Bora ACHEZEE KATIKATI
Ameshindwa vipi na kachukua UEFA iliyopita?. Na Laliga juu.Thank you kwa Carlo iko karibu sana kuliko umbali wa pua na mdomo.
Carlo ana wachezaji bora wengi ila ameshindwa kutengeneza timu bora
Tunazungumzia kiwango cha timu cha sasa siyo cha nyuma.Ameshindwa vipi na kachukua UEFA iliyopita?. Na Laliga juu.
Duh ana bahati kucheza katikati kwa mshangaziMjinga huyo
Bora ACHEZEE KATIKATI