ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Leo hii dunia nzima inamuongelea Kylian Mbappe(23) kwa yale aliyoyafanya makubwa juu ya taifa lake katika fainali za kombe la dunia na kufanikiwa kuifikisha nafasi ya pili timu ya ufaransa.
Leo hii Gadiel Michael(26) anatumikia adhabu ya mechi kadhaa pamoja na faini ya laki 5 kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4 asubuhi na kwenda kumwaga ushirikina uwanjani.
Unajiuliza soka letu linaelekea wapi? Ni lini Gadiel michael atafikia level za akina Mbappe?
Viongozi wa timu yake hadi leo hawajakanusha tuhuma zile na huenda ni wao ndio watailipa faini hiyo.
Je tuamini alitumwa na klabu kufanya yale?
Unajiuliza nini vision za vilabu vyetu?isije kuwa tunaigiza tu soka.
Shime kama nchi tubadilike tuwekeze kwenye vipaji viongozi wapunguze ulaji tujiwekee malengo..maana bila malengo hakuna cha maana tutakachofanya tutabaki kupiga domo tu na kubakia kusindikiza tu miaka nenda rudi.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app