ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mkuu bila shaka unashiriki haya matendo maana comments zako huwezi acha kutamka hizo tabia maana kinacho mtoka mtu ndio kilicho moyoni mwakeBora angeandika mbape dhidi ya kabwili maana hilo ni kubwa kuliko gadiel Maiko na mume wake mukoko alisema wapo wengine 6
Nigeria.ghana.algeria.guinea nkHakuna mechi inachezwa bila mganga kucheza mechi hapa katika ardhi ya kitanganyika.
Hata wachezaji wana amini katika kuroga ushinde mechi kuna mechi moja Mayele kakosa sana Magoli,akaenda kuishika nyavu ya goli akiamini kuna uchawi.
Masuala ya uchawi ni ya kiimani tu ni kawaida ya binadamu yoyote kutafuta kitu cha kuwekea imani pale ambapo uwezo wake unafika mwisho au anapokua na hisia hicho kitu kinampa bahati au kumwezesha kushinda kwa namna fulani., tunaona kaka anaingia uwanjani ndani kavaa rozali inaonekana sawa cha kushangaza akiingia mchezaji kavaa hirizi atasakamwa wakati kimsingi wote wamefanya kitu kile kile tu ila kwa imani tofauti anaeenda kanisani kuomnewa kabla ya mechi ana tofauti gani na anaeenda kwa mganga? zote ni imani tu hazina impact yoyote katika uhalisia juzi argentina wachezaji walivaa rebons nyekundu miguuni na kipa alivaa mkononi wakiamini itawapa bahati iyo ina tofauti gani na mchezaji anaeingia uwanjani akiwa amevaa hirizi akiamini itampa bahati? Majuzi tu pogba alikua na skendo ya kutumia ushirikina na ni mchezaji mkubwa tu hapa duniani. As long as mtu hajasababisha maafa yoyote binafsi sioni umuhimu wowote wa kukomalia suala la imani za watu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachokitaka cha muhimu tu ni kuweka sawa mifumo yetu ya soka kuanzia ngazi ya watoto, vijana mpaka wakubwa baada ya hapo anaeamini katika ukristo, uislamu, uchawi n.k as long as avunji kanuni yoyote basi imani yake iheshimiwe hao mbappe na gadiel michael wamekuzwa kisoka katika msingi tofauti kabisa uwezi ukatumia kigezo cha ushirikina pekee kusema ndo sababu ya mmoja kuwa na mafanikio kushinda mwenzake hata kama mbappe angeonesha vitendo vinavyoashiria ushirikina bado kimafanikio angekua juu ya gadiel michael kwa sababu msingi waliokuzwa kisoka ni mbingu na ardhi.. by the way nimeshtuka kujua kwamba gadiel michael ana miaka 26Leo hii dunia nzima inamuongelea Kylian Mbappe(23) kwa yale aliyoyafanya makubwa juu ya taifa lake katika fainali za kombe la dunia na kufanikiwa kuifikisha nafasi ya pili timu ya ufaransa.
Leo hii Gadiel Michael(26) anatumikia adhabu ya mechi kadhaa pamoja na faini ya laki 5 kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4 asubuhi na kwenda kumwaga ushirikina uwanjani.
Unajiuliza soka letu linaelekea wapi? Ni lini Gadiel michael atafikia level za akina Mbappe?
Viongozi wa timu yake hadi leo hawajakanusha tuhuma zile na huenda ni wao ndio watailipa faini hiyo.
Je tuamini alitumwa na klabu kufanya yale?
Unajiuliza nini vision za vilabu vyetu?isije kuwa tunaigiza tu soka.
Shime kama nchi tubadilike tuwekeze kwenye vipaji viongozi wapunguze ulaji tujiwekee malengo..maana bila malengo hakuna cha maana tutakachofanya tutabaki kupiga domo tu na kubakia kusindikiza tu miaka nenda rudi.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni miaka ya soka...sio halisi...😂😂Gadiel kacheza sana Azam, kaenda Yanga na sasa ana zaidi ya miaka mitatu Simba, kumbe ndiyo ana miaka 26!
Una afiki mchezaji kwenda kunyunyuza unga uwamjani?Masuala ya uchawi ni ya kiimani tu ni kawaida ya binadamu yoyote kutafuta kitu cha kuwekea imani pale ambapo uwezo wake unafika mwisho au anapokua na hisia hicho kitu kinampa bahati au kumwezesha kushinda kwa namna fulani., tunaona kaka anaingia uwanjani ndani kavaa rozali inaonekana sawa cha kushangaza akiingia mchezaji kavaa hirizi atasakamwa wakati kimsingi wote wamefanya kitu kile kile tu ila kwa imani tofauti anaeenda kanisani kuomnewa kabla ya mechi ana tofauti gani na anaeenda kwa mganga? zote ni imani tu hazina impact yoyote katika uhalisia juzi argentina wachezaji walivaa rebons nyekundu miguuni na kipa alivaa mkononi wakiamini itawapa bahati iyo ina tofauti gani na mchezaji anaeingia uwanjani akiwa amevaa hirizi akiamini itampa bahati? Majuzi tu pogba alikua na skendo ya kutumia ushirikina na ni mchezaji mkubwa tu hapa duniani. As long as mtu hajasababisha maafa yoyote binafsi sioni umuhimu wowote wa kukomalia suala la imani za watu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachokitaka cha muhimu tu ni kuweka sawa mifumo yetu ya soka kuanzia ngazi ya watoto, vijana mpaka wakubwa baada ya hapo anaeamini katika ukristo, uislamu, uchawi n.k as long as avunji kanuni yoyote basi imani yake iheshimiwe hao mbappe na gadiel michael wamekuzwa kisoka katika msingi tofauti kabisa uwezi ukatumia kigezo cha ushirikina pekee kusema ndo sababu ya mmoja kuwa na mafanikio kushinda mwenzake hata kama mbappe angeonesha vitendo vinavyoashiria ushirikina bado kimafanikio angekua juu ya gadiel michael kwa sababu msingi waliokuzwa kisoka ni mbingu na ardhi.. by the way nimeshtuka kujua kwamba gadiel michael ana miaka 26
Kwenye mikutano ya dini watu wanakanyaga mafuta wengine wanazamishwa kwenye maji kwamba ndo wanabatizwa na wanakufa mbona mikutano ya dini haikemewi wala kupigwa marufuku alfu wewe unasema kumwaga unga tu ambao hauna madhara yoyote.. kama huo unga hauna madhara yoyote basi inaweza ikatumika kama mbinu ya kucheza na saikolojia ya wapinzani tu., kwenye game na caf confederation msimu jana simba aliwasha moto uwanjani je alishinda? Wachezaji wengi tunaona wakiingia uwanjani wanapiga ishara ya msalaba au wananyanyua viganja vya mikono juu kama kushukuru au kupokea kitu baraka kutoka kwa Mungu wao ni matukio na ishara zinazofungamana na na imani tu ila hazina impact yoyote kiuhalisia maana sometimes bado timu zao zinafungwa point yangu inakuja inabaki pale pale as long as kitendo husika hakina madhara yoyote na hakuna sheria iliyovunjwa basi imani ya mtu iheshimiwe, tusuke mifumo yetu ya soka kuanzia ngazi ya watoto mpaka wakubwa kwanza baada ya hapo mchezaji akiamini katika ukristo, uislamu, uchawi, uganga n.k iyo ni juu yake muhimu tu iyo imani yake isivunje kanuni au kuleta madhara kwa wengineUna afiki mchezaji kwenda kunyunyuza unga uwamjani?
Kumbe siyo mafanikio? Unavukaje hatua inayofuata kama haujafuzu makundi? Mlianza na kusema hakuna kombe la robo fainali ya Club bingwa lakini hamjawahi kutuonesha kombe la unbeaten....Kuongoza kundi ni mafanikio? [emoji23][emoji23]Tuna safari ndefu
Upo sahihi,niligusia hili moja tu la soka baada ya hamasa ya WCUsiongelee kwenye soka tu. Panua mawanda ya hoja yako. Ni sekta au fani gani ambako tunafanya vizuri na kwa viwango vinavyotakiwa? Si mifumo yetu yote imeoza na kila kitu kinakwenda ndivyo sivyo? Nini kinakufanya uamini kuwa kwenye soka kutakuwa na unafuu wakati mambo yetu ni shaghalabaghala tu?
Tuache maigizo ndg mpira hakuna hapoKumbe siyo mafanikio? Unavukaje hatua inayofuata kama haujafuzu makundi? Mlianza na kusema hakuna kombe la robo fainali ya Club bingwa lakini hamjawahi kutuonesha kombe la unbeaten....
Usifananishe Rozari na HiriziMasuala ya uchawi ni ya kiimani tu ni kawaida ya binadamu yoyote kutafuta kitu cha kuwekea imani pale ambapo uwezo wake unafika mwisho au anapokua na hisia hicho kitu kinampa bahati au kumwezesha kushinda kwa namna fulani., tunaona kaka anaingia uwanjani ndani kavaa rozali inaonekana sawa cha kushangaza akiingia mchezaji kavaa hirizi atasakamwa wakati kimsingi wote wamefanya kitu kile kile tu ila kwa imani tofauti anaeenda kanisani kuomnewa kabla ya mechi ana tofauti gani na anaeenda kwa mganga? zote ni imani tu hazina impact yoyote katika uhalisia juzi argentina wachezaji walivaa rebons nyekundu miguuni na kipa alivaa mkononi wakiamini itawapa bahati iyo ina tofauti gani na mchezaji anaeingia uwanjani akiwa amevaa hirizi akiamini itampa bahati? Majuzi tu pogba alikua na skendo ya kutumia ushirikina na ni mchezaji mkubwa tu hapa duniani. As long as mtu hajasababisha maafa yoyote binafsi sioni umuhimu wowote wa kukomalia suala la imani za watu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachokitaka cha muhimu tu ni kuweka sawa mifumo yetu ya soka kuanzia ngazi ya watoto, vijana mpaka wakubwa baada ya hapo anaeamini katika ukristo, uislamu, uchawi n.k as long as avunji kanuni yoyote basi imani yake iheshimiwe hao mbappe na gadiel michael wamekuzwa kisoka katika msingi tofauti kabisa uwezi ukatumia kigezo cha ushirikina pekee kusema ndo sababu ya mmoja kuwa na mafanikio kushinda mwenzake hata kama mbappe angeonesha vitendo vinavyoashiria ushirikina bado kimafanikio angekua juu ya gadiel michael kwa sababu msingi waliokuzwa kisoka ni mbingu na ardhi.. by the way nimeshtuka kujua kwamba gadiel michael ana miaka 26
Nadhani ingekuwa vyema kujadili Yanga iliyofanya usajili wa pesa nyingi halafu bado wachezaji wake hawana performance ya wachezaji wa Simba yenye first 11 iliyojaa wenyeji zaidi.
Ni vitu tofauti ila vyote vinatumika kwa lengo moja kwenye imani husika
Performance ipi unayoongelea mkuu? Maana so far yanga anaongoza ligi kuu kwa tofauti ya point 4 dhidi ya uyo unayesema kamzidi performanceNadhani ingekuwa vyema kujadili Yanga iliyofanya usajili wa pesa nyingi halafu bado wachezaji wake hawana performance ya wachezaji wa Simba yenye first 11 iliyojaa wenyeji zaidi.
OkPerformance ipi unayoongelea mkuu? Maana so far yanga anaongoza ligi kuu kwa tofauti ya point 4 dhidi ya uyo unayesema kamzidi performance
Performance ya kuwa nafasi ya piliPerformance ipi unayoongelea mkuu? Maana so far yanga anaongoza ligi kuu kwa tofauti ya point 4 dhidi ya uyo unayesema kamzidi performance
Timu hadi inafikia unbeaten 49+ unaona bado haina perfomance?Nadhani ingekuwa vyema kujadili Yanga iliyofanya usajili wa pesa nyingi halafu bado wachezaji wake hawana performance ya wachezaji wa Simba yenye first 11 iliyojaa wenyeji zaidi.
Inayo performance ya magoli ya offside, penalt za kupewa na bahasha nonoTimu hadi inafikia unbeaten 49+ unaona bado haina perfomance?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Leo tumewafunga coast 3-0Inayo performance ya magoli ya offside, penalt za kupewa na bahasha nono
Kwahyo Mlichukua kombe?Hebu fafanua kimataifa tafadhali....View attachment 2452270