La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

kwann usiku sana pana live band?
mm sijawahi ona live band, usiku sana kwa sababu tukiwa tunatoka sehemu zetu za kujidai tukipitia njia hiyo lazma tuingie tupate ata mbili tatu n pazuri panashawishi.
 
mm sijawahi ona live band, usiku sana kwa sababu tukiwa tunatoka sehemu zetu za kujidai tukipitia njia hiyo lazma tuingie tupate ata mbili tatu n pazuri panashawishi.
aiseee sijawahi kukaa hapo
 
muda gani kunakuwaga na kaka poa...? mana ndiyo kijiwe changu cha kuangalia mpira hapo kwa siku ambazo nini nafasi.
 
jaribu siku moja n pazuri na hao makaka poa sijawahi waona mm
hata mie mara zote nazoendaga sijawahi ona wakaka poa..........labda wadada warembo na wakaka handsome basi.
 
ama uhandsome kwake ndiyo ukaka poa.
wewe wa kike ni ngumu kuwajua makaka poa kama unaowaonaga kama akina rayyounr,kuna wengine wanasura ngumu hatari huwezi kumtambua kama shoga ila ukikaa naye ndo utamjua ni bwabwa anapoanza kumtongoza mwanaume mwenzie
 
mpira wa ulaya wanaonyesha maana mie nakunywa siku za mipira tu cc sister
wanaonyesha..........mie naenda hapo sababu kuna mashabiki wehu sana ............napendaga maneno yao yananifanya nicheke sana.
 
wewe wa kike ni ngumu kuwajua makaka poa kama unaowaonaga kama akina rayyounr,kuna wengine wanasura ngumu hatari huwezi kumtambua kama shoga ila ukikaa naye ndo utamjua ni bwabwa anapoanza kumtongoza mwanaume mwenzie
inawezekana unachosema ni kweli.
 
Au mtoa uzi na wewe una biashara ya vileo kwa hiyo umeona umharibie mwenzio?
 
Sijawahi kaa hapo nilipita siku moja tu ila mtoa uzi acha Justinian wenzio biashara.

Ila yawezekana mpo kweli maana WAARABU WA PEMBA HUJUANA KWA VILEMBA.
 
wanaonyesha..........mie naenda hapo sababu kuna mashabiki wehu sana ............napendaga maneno yao yananifanya nicheke sana.
ntakuja siku moja japo kuna kiwanja cha nyumbani huwa nakitumia sana shunie anakipata vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…