La Liga: Kiporo kimoja cha Real Madrid chachacha

La Liga: Kiporo kimoja cha Real Madrid chachacha

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Punde tu,Real Madrid wamechapwa mabao 2-1 na Valencia. Sasa wana mechi moja tu mkononi zaidi ya wapinzani wao wakubwa Barcelona

Real Madrid sasa wamecheza mechi 22 huku wakiwazidi Barca alama moja ambao wamecheza mechi 23. Ndiyo kusema kiporo kimoja tayari kimechacha.
 
Tigo wamewaponza Madrid eti halichachi ndo usipashe moto muulize Madrid ka kimelika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madrid kutochukua ubingwa wa La liga ni ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom