Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mkuu,Madrid wamepania zaidi La LigaAcha wa focus huko UEFA
Barca anafungwa na Atletico Madrid JumamosiMkuu,Madrid wamepania zaidi La Liga
Mkuu,let us wait and seeBarca anafungwa na Atletico Madrid Jumamosi
Uko sahihi. Hadi dakika ya nane Madrid walishapigwa mbiliSafi Valencia.....na kama Nani angemaliza mchezo basi Madrid wangekufa zaidi ya mbili
Meaning...Madrid kutochukua ubingwa wa La liga ni ndoto za mchana.