Habarini Wakuu!
Poleni na hongereni kwa changamoto za Jumapili. Madrid leo beki wao nguli namba 3, Marcelo amerudi dimbani. Gareth Bale na Luca Modric wataanzia benchi ktk Game ya leo.
Barcelona nao beki wao namba 3, Jordi Alba amerudi uwanjani. Kwa mara ya kwanza kiungo Artulo Vidal anaanza kama winga ya kushoto ktk mchezo huu.
Kikosi cha Real Madrid kinaanza kama ifuatavyo:
Cortois
Carvajal
Marcelo
Sergio Ramos
Varane
Casemiro
Valverde
Toni Kroos
Karim Benzema
Vinicius Junior
Na Barcelona wapo hivi:
Ter Stegen
Nelson Semedo
Jordi Alba
Umtiti
Pique
Sergio Busquets
Arthur Melo
Frank De Jong
Messi
Griezmann
Vidal
Mtanange utaanza Majira ya Saa 5 kamili usiku. Azam TV HD watakuwa LIVE, Supersport 7. Wale wa Link hesgoal.com watakuwa LIVE.
Mario Baloteli aliwahi kutamka kuwa "Barcelona ina viwanja viwili, Camp Nou kwa ajili ya mazoezi na Santiago Bernabeu kwa ajili ya mechi"
My prediction: Real Madrid 0 - Barcelona 4.
Je, wewe nini utabiri wako?
Sent using
Jamii Forums mobile app