La liga: Mkenya anayechezea timu ya Girona fc afunga hat-trick!

La liga: Mkenya anayechezea timu ya Girona fc afunga hat-trick!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Wazalendo tunafuraha sana hii leo kijana mwenzetu anzidi kutusua huko ughaibuni mazeee[emoji122] , olunga ni mchezaji wa girona fc ambaye huwaga anajituma sana na leo hii amefanya kweli kwa kutia kimyani matatu dhidi ya timu ya las palmas huko la liga uhispania! Hongera zake

Facts kidogo

1. Michael Olunga becomes the first Kenyan (East African as well) to score a hat-trick in La Liga!!

We are proud of you!![emoji119] [emoji123]

Double record! Michael Olunga

2. Olunga is also the first player in history to score a La Liga hattrick for Girona! No other player has ever done it for Girona!

[HASHTAG]#ProudlyKenyan[/HASHTAG]

How many [emoji106][emoji106] for this shining Kenyan?
FB_IMG_1515859307129.jpg

FB_IMG_1515859174650.jpg
FB_IMG_1515858965005.jpg
 
Tunazidi kuwapigia dua hawa madogo zetu wanaofanya kweli huko ughaibuni tukianza na mzee wa kazi

Jonas Ayunga wa Brighton and Hove fc ndani Premier league, Uingereza baby[emoji115]
ayunga-2.jpg

Athman Said wa Las palmas ndani ya la liga[emoji122]
athman-1.jpg

Ciioq47WgAAf1aC.jpeg

Naye dogo matata Bruce Kamau wa Adelaide united, Australia A league[emoji123] [emoji109]
BRUCED-KAMAU.jpg
 
Dah safi sana, mbele kwa mbele.....
Bila kumsahau nyota wetu wa kesho, midfielder wakuaminika Jacob Omutanyi, anayesakata dimba la kulipwa ndani ya Everton fc baby[emoji122] [emoji123] [emoji115] [emoji109]
omutanyi-1.jpg
 
Bila kumsahau dogo Bernard Mwarome midfielder anayepiga ngozi ya kulipwa ndani ya mibabe wa Ugerumani , Bayen munich. Yupo kwenye under 19 team. Hongera zake!
MWAROME-BAYERN.jpg
670c5694cec4f686d655124aa9c3331c.jpeg
 
Brian otieno wa bonner fc ndani second division ya bundesliga ujerumani, ni defender mzuri sana pia
15420897_1460361277325381_7750934371526399845_n.jpg

Alipokuwa kwenye academy hapo hapo bonner fc, miaka michache iliyopita
Brian-Otieno-Ochieng-Bonner-SC.jpg
brian-otieno-ochieng.jpg
 
Mwisho kabisa ni dogo ambaye anapendwa sana kitaa kwani alikuwa ni kijana wa kuranda randa mitaani hapo mombasa.
Paul thiongo kwa sasa anatafuta rizki ndani ya Empoli fc U 19, Italia serie b.
Kaza buti dogo[emoji122] [emoji123] [emoji115]
26739_1386402790030_1530847563_31015197_6189713_n1.jpg
 
Hawa wakina O O O si ndio wanabezwa mara hawakatwi mzula wa mbolo, mara washamba.. Kenya na ukabila, hongera sana Omela
 
Hawa wakina O O O si ndio wanabezwa mara hawakatwi mzula wa mbolo, mara washamba.. Kenya na ukabila, hongera sana Omela
Hongera mkolomije na lahaja yako ya utata. Eti mzula wa nini? Afu ni omera, si omela. Siasa zisikukanganye, ni shemeji zetu hao! Sijui kwanini hujawaona Athman Said, Bruce Kamau, Bernard Mwarome, Paul Thiong'o, Phillip Mwene na Jacob Omutanyi, hapo hamna wa kutoka lake side, watz mna ukabila zaidi ya wakenya siku hizi. Kenya hoyee!
 
Hongera kwake hiyo mechi niliangalia,nakumbuka mwaka juzi alikuja tz na tim ya gor mahia
 
Back
Top Bottom