La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
SALAAM WAKUU.

Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa na VINICIUS.

Hadi wananyakua taji timu ya REAL MADRID imezifunga timu zilizomaliza nafasi tatu za juu kwenye ligi ya UINGEREZA ambazo ni CHELSEA(N3) MANCHESTER CITY(BINGWA) NA LIVERPOOL(N2) JE HII HAITOSHI KUTHIBITISHA KUWA LA LIGA NI BORA KULIKO EPL?

NB: LIVERPOOL(6) MANCHESTER UNITED (3) CHELSEA(2) NOTTINGHAM FOREST(2) ASTON VILLA(1) JUMLA 14= REAL MADRID 14.

VILEVILE MARA YA MWISHO KWA MADRID KUFUNGWA MCHEZO WA FAINALI YA UEFA ILIKUWA MWAKA 1981.

EPL NI LIGI YA WAPIGA DOMO
HALLA MADRID.
 
[emoji725]
20220529_075051.jpg
 
Epl inapendwa na ni bora maana timu hata inashuka daraja inakutana na bingwa inashinda. La liga au bundesliga unakuta bingwa anajulikana hata mechi 10 kabla.

Sema hivi wewe tangu unakuwa umekuwa ukipata access ya Kuona EPL tuu,Inawezekana na Ving’amuzi au Mazingira ya Eingereza kupenda kutangaza biashara zao ikapelekea watu wengi kuiangali.

La Liga mpaka uitafute ndio uione,Wakati Epl inakuja Automatic tu!

Na wala haifikii La liga,Sema majigambo ndio yamezidi,Maneneo meeengi lakini hakuna Mpira!

World cup oooh it come home Wakapigwa[emoji1787][emoji1787]
Maneno ndio yapo Uingereza,Mpira Hispania na Italy.
 
EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.
vilevile timu hizo mbili ndio zinazoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.

LA LIGA NI BORA KULIKO EPL.
Unaongelea timu au ligi??

Hueleweki unaongelea nini ndgu yangu.

Hata Beyern ni timu bora lakini huwezi kusema ligi yao ni bora.

Kilicho bora wala hakitangazwi ila kinajitangaza chenyewe tu. Si unaona unavohangaika kuipa promo La liga, unatumia minguvu kibao.
 
Ubora ni nini ? (quality, competitiveness au results / winning)
Ligi ni Nini ?

Na timu bora ndio necessarily league bora...

Kuna kipindi algerian league kulikuwa kumebakia mechi kumi league kuisha alfu mshika mkia mathematically angeweza kuchukua ubingwa (Now that's what I call competitive)
 
La liga ni ligi ya zamani Mnoo tangu kina Rivaldo,Ronaldo de lima,Zidane,Figo,Nk ila wengi walikuwa wanaziona Timu za Hispania kwenye Uefa tuu,Ilikuwa ni ngumu kuona ligi zao sababu hawakujitangaza na hawakuwa free!
EPL kupitia Suoer sport south Africa Waingereza,Waliitangaza Sanaaa Mnoo Ligi kuu ya Uingereza kupitia Matangazo,Lipia…Lipia…nk
Hivyo watu wengi walikuwa hawana Option zaidi ya Kuangalia tuu EPL.mtoto mdogo anakuwa amekuta EPL inaonyeshwa anaipenda anakuwa Mtu mzima aniona tuu EPL sana Chaguo lingine hiyu lazima na humuondoi Epl[emoji14][emoji30]
 
Vilabu kutoka La Liga ndio vimechukua makombe mengi zaidi ya UEFA. Unaposema La Liga sio bora unamaanisha nini?
Uefa sio kipimo cha ubora wa ligi kwani yale ni mashindano ya mechi 13 wakati ligi ina mechi 38
 
Sema hivi wewe tangu unakuwa umekuwa ukipata access ya Kuona EPL tuu,Inawezekana na Ving’amuzi au Mazingira ya Eingereza kupenda kutangaza biashara zao ikapelekea watu wengi kuiangalia…
La Liga mpaka uitafute ndio uione,Wakati Epl inakuja Automatic tuu!
Na wala haifikii La liga,Sema majigambo ndio yamezidi,Maneneo meeengi lakini hakuna Mpira!
Worl cup oooh it come home Wakapigwa[emoji1787][emoji1787]
Maneno ndio yapo Uingereza,Mpira Hispania na Italy.
Kama sie wabongo vile mpira wa magazetini na mdomoni, mara pira biriani mara sukuma pumzi ya moto, sasa ngoja wajenwanaojua mpira mapemaaa tulishapigwa....

Wwe sii umeona hadi mama kaona hapa bila kuwa host wa afcon hii timu ya kichwa cha mwendawazimu haitatinga afcon....ngoja tuanze mkakati wakuwa host ndio njia pekee ya sie kutinga afcon.
Mama anaupiga mwingiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unaongelea timu au ligi??

Hueleweki unaongelea nini ndgu yangu.

Hata Beyern ni timu bora lakini huwezi kusema ligi yao ni bora.

Kilicho bora wala hakitangazwi ila kinajitangaza chenyewe tu. Si unaona unavohangaika kuipa promo La liga, unatumia minguvu kibao.
Mkuu La Liga ni ligi bora zaidi ya EPL, michuano ya UEFA inasupport hii hoja. EPL ni ligi yenye msisimko na ushindani tu lakini si bora kuzidi La Liga
 
Ubora ni nini ? (quality, competitiveness au results / winning)
Ligi ni Nini ?

Na timu bora ndio necessarily league bora...

Kuna kipindi algerian league kulikuwa kumebakia mechi kumi league kuisha alfu mshika mkia mathematically angeweza kuchukua ubingwa (Now that's what I call competitive)
Inaweza kuwa ligi ya ushindani lakini wote ni vibonde, wakitoka nje wanapigwa
 
Kama sie wabongo vile mpira wa magazetini na mdomoni, mara pira biriani mara sukuma pumzi ya moto, sasa ngoja wajenwanaojua mpira mapemaaa tulishapigwa....

Wwe sii umeona hadi mama kaona hapa bila kuwa host wa afcon hii timu ya kichwa cha mwendawazimu haitatinga afcon....ngoja tuanze mkakati wakuwa host ndio njia pekee ya sie kutinga afcon.
Mama anaupiga mwingiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
Bongo ndio zero kabisa, tunaupenda mpira lakini wenyewe hautupendi. Kwa kifupi hatujui kucheza mpira 😂😂
 
Back
Top Bottom