Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.Ndo inapendwa na wengi sasa, ina ladha tofauti na ligi nyingi.
Vilabu kutoka La Liga ndio vimechukua makombe mengi zaidi ya UEFA. Unaposema La Liga sio bora unamaanisha nini?La Liga sio bora ila Real Madrid msimu huu alikuwa tactical kuliko vilabu vya England!
Epl inapendwa na ni bora maana timu hata inashuka daraja inakutana na bingwa inashinda. La liga au bundesliga unakuta bingwa anajulikana hata mechi 10 kabla.
Unaongelea timu au ligi??EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.
vilevile timu hizo mbili ndio zinazoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.
LA LIGA NI BORA KULIKO EPL.
Uefa sio kipimo cha ubora wa ligi kwani yale ni mashindano ya mechi 13 wakati ligi ina mechi 38Vilabu kutoka La Liga ndio vimechukua makombe mengi zaidi ya UEFA. Unaposema La Liga sio bora unamaanisha nini?
Kama sie wabongo vile mpira wa magazetini na mdomoni, mara pira biriani mara sukuma pumzi ya moto, sasa ngoja wajenwanaojua mpira mapemaaa tulishapigwa....Sema hivi wewe tangu unakuwa umekuwa ukipata access ya Kuona EPL tuu,Inawezekana na Ving’amuzi au Mazingira ya Eingereza kupenda kutangaza biashara zao ikapelekea watu wengi kuiangalia…
La Liga mpaka uitafute ndio uione,Wakati Epl inakuja Automatic tuu!
Na wala haifikii La liga,Sema majigambo ndio yamezidi,Maneneo meeengi lakini hakuna Mpira!
Worl cup oooh it come home Wakapigwa[emoji1787][emoji1787]
Maneno ndio yapo Uingereza,Mpira Hispania na Italy.
Vilabu kutoka La Liga ndio vimechukua makombe mengi zaidi ya UEFA. Unaposema La Liga sio bora unamaanisha nini?
Mkuu La Liga ni ligi bora zaidi ya EPL, michuano ya UEFA inasupport hii hoja. EPL ni ligi yenye msisimko na ushindani tu lakini si bora kuzidi La LigaUnaongelea timu au ligi??
Hueleweki unaongelea nini ndgu yangu.
Hata Beyern ni timu bora lakini huwezi kusema ligi yao ni bora.
Kilicho bora wala hakitangazwi ila kinajitangaza chenyewe tu. Si unaona unavohangaika kuipa promo La liga, unatumia minguvu kibao.
😂 sasa kigezo sahihi ni kipi? Maana huko UEFA ndio wanakutana wababe wa UlayaUefa sio kipimo cha ubora wa ligi kwani yale ni mashindano ya mechi 13 wakati ligi ina mechi 38
Inaweza kuwa ligi ya ushindani lakini wote ni vibonde, wakitoka nje wanapigwaUbora ni nini ? (quality, competitiveness au results / winning)
Ligi ni Nini ?
Na timu bora ndio necessarily league bora...
Kuna kipindi algerian league kulikuwa kumebakia mechi kumi league kuisha alfu mshika mkia mathematically angeweza kuchukua ubingwa (Now that's what I call competitive)
Bongo ndio zero kabisa, tunaupenda mpira lakini wenyewe hautupendi. Kwa kifupi hatujui kucheza mpira 😂😂Kama sie wabongo vile mpira wa magazetini na mdomoni, mara pira biriani mara sukuma pumzi ya moto, sasa ngoja wajenwanaojua mpira mapemaaa tulishapigwa....
Wwe sii umeona hadi mama kaona hapa bila kuwa host wa afcon hii timu ya kichwa cha mwendawazimu haitatinga afcon....ngoja tuanze mkakati wakuwa host ndio njia pekee ya sie kutinga afcon.
Mama anaupiga mwingiiiii🤣🤣🤣🤣🤣