Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Ndugu, wadau, natamani sana siku moja kuwe na mechi ya mastaa wa La Liga na wenzao wa UK Premier League. Kwanza mechi iwe mwisho wa msimu, pili iongozwe na makocha waliochukua makombe pande zote na tatu timu moja inaruhusiwa kutoa wachezaji mpaka wawili tu. Naomba list zenu za first eleven pande zote.