Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
that was friendly... in'it?Jana Umeshuhudia Kichapo alichopewa barca na SEVILLA!?
NAONA LIGI HII ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA..KANOUTE KWA TOBOA MBILI NZURI TU MPAKA MWISHO SEVILA 3 BARCA 1
sevilla,atletico madrid na villareal ni wasumbufu sana kwa barca,halafu forlan ni mchezaji ambae mara nyingi anawafunga sana barca toka akiwa villareal na leo atletico madrid,spain mpira upo juu,sema england wanajitangaza sana,ila chukulia mfano team kama atletico bilbao ikicheza na everton,everton atalowa,mara nyingi ukifuatilia toka miaka iliyopita tima kama valencia,deportivo zimemfunga arsenal na kumtoa ktk michuano ya uefa wakati arsenal inahesabika kama timu kubwa england,na timu za england eg leeds ilikuwa inatamba miaka ya 2000 mwanzoni,ikala 4-0 kwa barca kule nou camp,na 3-0 kwa valencia mendieta pale mestalla,ukiachilia sasa timu 4 za england man utd,chelsea,arsenal na liverpool,ndizo zinaweza kuzitoa timu za spainza kawaida eg valencia,seilla,osasuna,zaragoza,kwa barca na real madrid sio rahisi panaweza kuchimbika au hata zikatolewa timu za england.Jana Umeshuhudia Kichapo alichopewa barca na SEVILLA!?
NAONA LIGI HII ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA..KANOUTE KWA TOBOA MBILI NZURI TU MPAKA MWISHO SEVILA 3 BARCA 1
sevilla,atletico madrid na villareal ni wasumbufu sana kwa barca,halafu forlan ni mchezaji ambae mara nyingi anawafunga sana barca toka akiwa villareal na leo atletico madrid,spain mpira upo juu,sema england wanajitangaza sana,ila chukulia mfano team kama atletico bilbao ikicheza na everton,everton atalowa,mara nyingi ukifuatilia toka miaka iliyopita tima kama valencia,deportivo zimemfunga arsenal na kumtoa ktk michuano ya uefa wakati arsenal inahesabika kama timu kubwa england,na timu za england eg leeds ilikuwa inatamba miaka ya 2000 mwanzoni,ikala 4-0 kwa barca kule nou camp,na 3-0 kwa valencia mendieta pale mestalla,ukiachilia sasa timu 4 za england man utd,chelsea,arsenal na liverpool,ndizo zinaweza kuzitoa timu za spainza kawaida eg valencia,seilla,osasuna,zaragoza,kwa barca na real madrid sio rahisi panaweza kuchimbika au hata zikatolewa timu za england.
Ni kweli mpira wa spain unautamu na viburudisho vyake..ila kwa matangazo ya media EPL wapo juu kwenye kujinadi..nadhani ndo nature ya wa briton katika kila jambo wanapenda kusifia kweli mtu wao anapofanya vizuri..najua leo magazeti yao mengi yamechonga jana Murray alipomchapa Mkongwe Roger Federer,.Anyways spain naona msimu huu utakuwa na ushindani sana kwa vigogo RM na FCB wote wanatimu nzuri kutokana usajili wao na RM wanamsema ovyo sipati picha atakavyokuwa ananyanyasa kwenye media conference kwa kuwasifia vijana wake CR,Higuani and others..Ngoja tuone mpira wa leo usiku nadhan utakuwa mzuri nao hizi wingi mbili zinautamu wake kwa mashetani( Valencia na Luis) na kule mbele vijana wake wapo makini na nyavu
Tatizo la ligi ya Hispania ni 'two horse race'.
Argentina vs Spain - Goal.com
tumechapwa jana huko Buenos Aires
ila hakuna noma mechi ya kirafiki na asiekubali kushindwa si mshindani,na pengo la cambiasso na zanetti kombe la dunia 2010 limeonekana wamecheza sana mpira jana hasa pale dimba la kati cambiasso na masscherano walidhibiti sana fabregas,alonso,busquets na iniesta
Poa hakuna noma,tupo pamojaThanx kwa report nilikuwa mbali na taarifa. Si mbaya matokeo kama haya yanakupa nafasi ya kujua ubovu na kurekebisha
Ubora unategemea wewe unapenda nini katika soka,hapa kila mtu anaangalia vigezo vyake. Kwa mfano yupo anaevutiwa na jinsi CR9(7) anavyocheza, na kuna wanaolinganisha mafanikio kwa ujmla ya La Furia Rojas,na wewe unaweza kupinga kwa vigezo vyako,labda unapenda namna timu yako ya Man U inavyotawala EPL hivyo ukachukulia kuwa huo ndo ubora wa EPL!!!La liga ni bora kwa vigezo vipi?
Yea ilikuwa mechi ya supercopa... mana ligi yao yaanza next wk kama sijakosea..
Kanoute at the double
Sevilla claimed first-leg honours against Primera Division champions Barcelona as they fought back from a goal down to win 3-1 in the Supercopa. Zlatan Ibrahimovic put Barcelona ahead, but Luis Fabiano levelled and substitute Frederic Kanoute scored twice