Jana mechi kati ya ManU na Real Madrid ilikuwa ni kuonesha ligi gani bora. Kwa kweli La Liga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya EPL kwani Real Madrid ya tatu na ManU wanaongoza katika ligi zao hivi sasa.
Ah, wazee wa La Liga! Ligi ya timu mbili.....!
Ah, wazee wa La Liga! Ligi ya timu mbili.....!
England ni wazee wa promo tu.Hakuna mpira pale.Ligi inapeleka timu nne UCL halafu tatu zimeshatoka na moja hati hati kutoka juma lijalo.Afadhali Italia waliopeleka timu tatu na zote bado zinadunda...sawa na Ujerumani.La Liga ni habari nyingine
Ni kweli Atletico Madrid na Atletico Bilbao kiboko ya Man U Na Chealsea.
Yeah nakubaliana na ww mkuu. Wabongo kawaida yao ni kubwabwaja bila kufanya tathmini ya vitu. Kwanza tangu lini ubora wa ligi au timu una determiniwa kwa ushindi wa siku moja au mbili? Ukiangalia ligi ya Spain timu zinazoshinda makombe( La liga na Copa del rey) mara nyingi kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ni Barca na Real Madrid. Hakuna timu zingine zinabeba makombe mengi zaidi ya hizo. La liga unaweza kuifananisha na Ligi ya Bongo (enzi zile) bingwa alikuwa Yanga au Simba. Hakuna timu nyingine zinazoweka upinzani mkubwa Spain, afadhali hata ligi ya kirushwa-rushwa ya Italia timu zinazogombania ubingwa ni zaidi ya mbili mwaka baada ya mwaka. Ukiondoa kelele za media na kubwabwaja kwa wapenda soka wa England, ligi yao ina ushindani. Timu ndogo zinatoa kamasi timu kubwa sio kama Spain.hawajui hata ligi bora ikoje wanabwabwaja tu.ligi barca anaenda kwa bilbao mnasubiri kusikia messi kafunga ngapi/barca wameshinda goli ngapi?just imagine,man city anaenda kwa stok cit hana uhakika na ushindi au man u anaenda reading hana uhakika wa kushinda!!!spain kuna timu bora sio ligi bora,jifunzeni kutofautisha mambo.
Jana mechi kati ya ManU na Real Madrid ilikuwa ni kuonesha ligi gani bora. Kwa kweli La Liga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya EPL kwani Real Madrid ya tatu na ManU wanaongoza katika ligi zao hivi sasa.
Yeah nakubaliana na ww mkuu. Wabongo kawaida yao ni kubwabwaja bila kufanya tathmini ya vitu. Kwanza tangu lini ubora wa ligi au timu una determiniwa kwa ushindi wa siku moja au mbili? Ukiangalia ligi ya Spain timu zinazoshinda makombe( La liga na Copa del rey) mara nyingi kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ni Barca na Real Madrid. Hakuna timu zingine zinabeba makombe mengi zaidi ya hizo. La liga unaweza kuifananisha na Ligi ya Bongo (enzi zile) bingwa alikuwa Yanga au Simba. Hakuna timu nyingine zinazoweka upinzani mkubwa Spain, afadhali hata ligi ya kirushwa-rushwa ya Italia timu zinazogombania ubingwa ni zaidi ya mbili mwaka baada ya mwaka. Ukiondoa kelele za media na kubwabwaja kwa wapenda soka wa England, ligi yao ina ushindani. Timu ndogo zinatoa kamasi timu kubwa sio kama Spain.
Ligi ya timu mbili au sio? Nenda kakutane na Atletico madrid, bilbao au Valencia uone kiama chake.Ah, wazee wa La Liga! Ligi ya timu mbili.....!
Mkuu kukumbushana ni wajibu. Angalia jinsi RFA inavofanya kila kitu kinachomhusu David Beckham ni HABARI (katoa pasi iliyozaa goli-habari, jana hakupangwa dhidi ya Valencia-habari)!!!!!!!!!!!!!!Mbona hii fact ilikuwa verified and kuwa confirmed since last season?
Umesahau jinsi Atletic Bilbao (ambao kwenye La Liga then walikuwa a mere mid table team) walivyoivurumisha kwa vipigo vya aibu Man U (home and away kwenye Europa League) & na Athletico Madrid walivyompa kipigo cha mbwa mwizi Chelsea kwenye UEFA Super Cup?
Chelsea alibahatisha tu Champions League glory - lakini sasa the truth is out in the open. Wameingia kwenye historia ya reigning champs kuondolewa kwenye preliminaries na kwenye EPL wanaweza even kumiss out on top 4!