La Liga vs EPL.

Kwa hiyo, Bundesliga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya La Liga?
Mkuu, ngoja mechi zao za pili wiki ijayo tunaweza kupata ufumbuzi kwani hata thread yangu hii ilikuwa baada ya mechi ya pili kati ya timu hizi kule Old Traford.
 
Mkuu, ngoja mechi zao za pili wiki ijayo tunaweza kupata ufumbuzi kwani hata thread yangu hii ilikuwa baada ya mechi ya pili kati ya timu hizi kule Old Traford.

Let's wait then.
 
Mkuu, ngoja mechi zao za pili wiki ijayo tunaweza kupata ufumbuzi kwani hata thread yangu hii ilikuwa baada ya mechi ya pili kati ya timu hizi kule Old Traford.

Hata kama mkoloni atacheza fainali mwenyewe kwa kuwatoa waspain bado haitoshi kusema the balance of power of European football has shift, team zinahitaj kuwa dominant kwa miaka kadhaa na kuwa na consistence kwenye mashindano makubwa kwa kipindi kirefu, chukulia Barcelona wamekua dominant kwa muda gani keenye UCL, wamechukua vikombe vingapi toka 2006? Wamefika 1/2 final mara ngapi? Ndio maana La Liga ikawa ligi bora Ulaya.

Before La liga wababe walikua EPL, Liverpool, Man Utd, Chelsea na Arsenal zilikua washindani haswaa na sio washiriki, kuna time EPL walikua na team 3 kwenye 1/2 final, Liverpool ilicheza final mara mbili ndani ya misimu miwili au mitatu, Liverpool walichukua kombe mara moja kipindi hicho, then kukawa na all english final in Russia. Hii ni mifano tu kuonyesha ili ligi iitwe bora zaidi ya nyingine kwa Ulaya inakuaaje.

And before EPL mpira ulikua kama hauna mwenyewe, manake Bundasliga walikua wamo kiasi na hizi club zao mbili, Spain na Madrid ilikua club bora ya Dunia, kidogo Valencia na Derpotivo nao walikua wanaadabksha vigogo wa Ulaya,
EPL nao na Man Utd na Arsenal, Italy mpira ndio ulikua unaanza kuota mbawa but nyuma kidogo ( late 80s mpaka 90s) mpira ulikua nyumbani Italy, wachezaji wazuri wenye viwango ambavyo leo hii havionekani walikua wanapatikana huko, na club za Italy zikiongozwa na Milan na Juventus zilikua moto wa kuotea mbali kwa vilabu vya Ulaya.

So nachojaribu kusema hapa ni kuwa, ili ligi iwe bora au dorminant it takes more than two matches za kuwafunga wapinzani goal 4, tunatakiwa tusuburi na msimu ujao na mwimgine tuone kama kweli mipira utachagua kwenda kwa Mkoloni na Club zao zitakua dominant kwenye UCL, yasije yakawa mambo ya Chelsea au Porto.
 
EPL imeshazitungua hizi timu zilizo katika fainali, je la liga imeshafanya hivyo hivi karibuni? lol
 
angalia hapo
 
Last edited by a moderator:
hakuna ligi bora zaidi na nzuri kama bundesliga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…