Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuNaombeni mnisaidie jaman ni jambo gani ambalo Kikwete kalifanya katika awamu yake ya kwaza ambalo litakufanya wewe kama Mtz umkumbuke Rais wako huko mbeleni?
Kumteua makamba kuwa katibu mkuu wa ccm. Kwa kweli hilo ndilo jambo jema alilowatendea watanzania ambalo kamwe hatutalisahau.
umelisahau la kumteua Sophia Simba aka .................