Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
- Thread starter
-
- #21
Mimi ni mwanamke ila kuna wanawake wengine wanakera yaani wanavaa mawigi ambayo hayaendani na rangi, sura na mengine hayajashonewa vizuri ilimradi tu kafunika nywele halisi..mawigi mengine ya ki-blonde na yamefika hadi kiunoni, mweeh!!...halafu tatizo lingine ni kuwa wengine wanavaa/shoea mawigi kumbe nywele za ndani zipo kiholela yani wigi likidondoka aibu yao..kuna wanawake wengine mawigi yanawatoa vile vile..
Nashukuru kuwa na nywele fupi na sijawahi kuvaa wigi, kwanza joto kali dar..
Waaminisheni wanapendeza bila watavua tu!!hello lizzy hawataki hiv kile kipindi cha SEREBUKA pale TBC1 umeondoa?
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.
Mi napenda mwanamke awe nywele zake asilia, tena nywele fupi
Short haircut.
Sio unamwambia twende kuoga halafu anakwambia yeye kichwa chake hakitakiwi kuloa maji
Nakereka balaa
<br />I have just bought one. Very expensive one!
umemaliza kila kitu mpendwa,halafu akimuona alojikwatua anakuambia fulani linangara hilo weye ukijiangalia kama jungu la shughulini inahusu!Mkereke kwa vitendo si maneni. Mkimuona beyonce mnasema anavutia mnadhani angekuwa na kipara mngegeuka!
Hamjani convince bado. I am putting myself extremely attractive!
Kuna wanaume wanawambia wake zao ooh usiweke dawa mimi hainivutii. Ukikuta kimada wake full mawigi plus madawa!
Anamwambia wife hajihachie ili ahakikishe hamna anayemtokea!
<br />
<br />WIGS WIGS NAUSEATING
NO MATTER HOW EXPENSIVE! I have yet to see a white woman wearing a "kiplipili" wig but look at the multitudes of black women donning long straight wigs reaching as far down their big----. What a shame!
me
Raha ya kuoga kichwa kiloe maji...hapo ndiyo napendea nywele zangu mana kila siku naosha...weaving hapana kabisa!!
<br />Wewe wadhungu wanavaa mawigi sana labda huwajuhi vizuri. Unadhani wote wana nywele nzuri?
Tena raha inaongezeka pale Mzee ndo anakuosha nywele
Tena kwa kudeka, ni kumwambia sugua vizuri kichwa wakati akiosha na shampoo..
Kuanzia leo naacha, sikujua kama wanaume hampendi.
Nakushauri kabla ya kuhacha muulize partner wako kwanza. Usije fanyia kazi ushauri wa JF ikala kwako. I am sure you are not afer pleasing everyone but rather those who's feelings matter!
Huo ndio udikteta wa mapenzi.Ningefurahi kama ingetokea siku moja wanawake tukawa na confidence japo ya kufanya mambo kwa ajili yetu kwanza na si kwa ajili yakumplease binadamu wa kiume! Kama manywele ya bandia yanakufanya ujisikie kuwa ni mrembo go ahead a wear them;
Kuanzia leo naacha, sikujua kama wanaume hampendi.