nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Ningefurahi kama ingetokea siku moja wanawake tukawa na confidence japo ya kufanya mambo kwa ajili yetu kwanza na si kwa ajili yakumplease binadamu wa kiume! Kama manywele ya bandia yanakufanya ujisikie kuwa ni mrembo go ahead a wear them;
but kama ni mrembo toka moyoni n u r confident na u don't feel like urembo wako unakuja ukifanana na muhindi au Mzungu achana nayo! Huyo mwenzio kama yuko attracted na manywele hayo he can be better of with wadosi, wazungu or sokwe!
Dada sio siri asilimia kubwa ya wanaume wengi hatupendi mawigi/weavings......naweza kucompromise kama weaving yenyewe iko bomba hadi inakufanya uamini kuwa hizo nywele ni zako mfano wa Beyonce. Lakini hakuna kitu kinakera wanaume tulio wengi kama tukiona mdada amevaa wigi/weaving tena kwa macho tu unajua
how! Do u know to what extent kinadada wanaenda kwa ajili yenu? Yet bado wanatendwa na mwisho kujiona hawafai!Huo ndio udikteta wa mapenzi.
Yes hny! I have been n l am still in love! But not to an expense of not being myself!Have you ever been in love?
Yes hny! I have been n l am still in love! But not to an expense of not being myself!
Cheusimangala naona umeamua kutuwekea katiba ya urusi
Halaf kuna wengine wanavaa mawigi ya kitani, kwenye mchezo ukijifanya una mzuka wa kuvuta manywele yanakukatilia mbali vidole, yalaaniwe mawigi.
Kwa mfano kama mnatoka out ukivaa nguo unayoona imekutoa kweli kweli, akakwambia "honey mimi naona ile nguo yako nyekundu inakutoa zaidi"; utabadilisha au utamwambia, "najua nimependeza lets go"
Those r very minor issues, nitabadilisha unless kama haindani na what l call my morals mf; anaenda kumake a business deal, partner wake ni weak kwa wanawake na my sweetie anataka kunitumia na akapropose nivae kidress kifupi sana au in short nusu uchi ili aweze kuclose deal na business partner wake; surely l won't do it!
Mahusiano ni compromise; lkn si vyema kumcompare mwenza wako! Siku hizi wanaume wengi huwalipia wenzi wao kuongeza boobs; lakini ni wanawake wangapi huwaambia wenzi wao waongeze ukubwa wa mikuki yao? I bet siku ukisuggest na talaka juu!
nikiwa kama mod nasema umesamehewa.sorry ni tatizo la kiufundi,kuna picha nzuri kweli nikitaka kuiweka inatokea vitu vya ajabu,mnisamehe,sijui ni virus au ndo kitu gani
Halaf kuna wengine wanavaa mawigi ya kitani, kwenye mchezo ukijifanya una mzuka wa kuvuta manywele yanakukatilia mbali vidole, yalaaniwe mawigi.
Aisee huo mfano ni sort of live; jamaa alikuwa anahitaji mkopo kwa Tajiri mpenda wake za watu na alimtumia mkewe, hivi vitu vipo!Mfano ulotumia umekaa ki movie zaidi. Nani anaweza mwambia wife awe chambo!
Nashukuru umekubali kuwa ukipenda hata mavazi na muonekano wako kwa ujumla lazima yamvutie mwenza wako. Kwa hiyo wale wa vipara haya. Wale wa mawigi haya. Mradi jamaa anapata kitu roho inataka!
Nafikiri mtoa mada alimaanisha extensions sio kutreat nywele zako ulizozaliwa nazo.Alafu wadau nyie nywele zetu wa afrika mnazijua. Yaani hiki kipilipili nikiache natural si kila mtu ataniona kichaa. Hata mama zetu walikuwa wanachoma nywele those days kwa kutumia vigae. Kwa kweli hii nywele bila dawa basi kipara tu.
Nafikiri mtoa mada alimaanisha extensions sio kutreat nywele zako ulizozaliwa nazo.