Kuna mtu anaweza nieleza la var ball ni nani?
anahusika na nini hasa?
watoto wake wako wangapi?
why ana umaarufu?
whats so special about him na his family?
nimesikia kuna kiatu wanatoa wauze dollar 400
nikazidi kujiuliza kwani huyu mtu ana nini special?
Nyani Ngabu BAK
Namuona kama masifa masifa zaidi
Nilishangaa aliposema wanatoa kiatu chao
kumbe huyo mwanae hata NBA hajafika bado
nilishangaa sana
eti kiatu kitaanza dola 400
Ila naona hawakufanya vibaya kwenye mauzo yao ukizingatia wapo 'independent'.
Ni dola 495!
Na kilichotiwa sahihi yao [sina uhakika kama ni ya LaVar au Lonzo] ni dola 995!
Kiatu chenyewe hiki hapa...Big Baller Brand [BBB]
Here's how many pairs of $495 sneakers LaVar, Lonzo Ball reportedly sold so far
Kuna mtu anaweza nieleza la var ball ni nani?
anahusika na nini hasa?
watoto wake wako wangapi?
why ana umaarufu?
whats so special about him na his family?
nimesikia kuna kiatu wanatoa wauze dollar 400
nikazidi kujiuliza kwani huyu mtu ana nini special?
Nyani Ngabu BAK
the boss unakosa mengi sana..
Nyani Ngabu uliangalia march madness UCLA vs Kentuky jinsi huyo lonzo ball wanaemsifia alivyobanwa...
Lavar anafurahisha sana nachompenda anajiamini sana
anadai hata jordan hamuwezi yeye kwenye one on one... charles bakley akamwambia anataka nae mechi na lavar one on one.. jamaa kaingia mitini..
I am sure Lakers chini ya magic johnson watamdraft lonzo with second pick... maana hawana jinsi...
ila ikitokea lakers wakim pass lonzo.. lavar ataaibika sana
Jamaa anang'ang'ania eti Lonzo lazima aende Lakers.
Sasa sielewi kama Lakers wasipom-draft atafanyaje!
Anywho, we shall see.
huyu lavar ni chizi sana.. timu ya mwanae imefungwa na kutolewa.. kwa kumtetea kalaumu wazungu ndio sababu ya UCLA kutolewa...
cha kushangaza bingwa University of North calorina imebebwa na wachezaji wazungu...
huyu lavar ni chizi sana.. timu ya mwanae imefungwa na kutolewa.. kwa kumtetea kalaumu wazungu ndio sababu ya UCLA kutolewa...
cha kushangaza bingwa University of North calorina imebebwa na wachezaji wazungu...
Nachoshangaa why media zinampa airtime sana
ESPN wanamhoji utakuta upuuzi tu anaongea
alipom diss kobe nilishangaa sana
Huwa anahojiwa zaidi na FS1 kwa sababu wanarusha matangazo yao mengi kutoka Los Angeles ambapo ndo makao makuu yake [hao FS1].
Kwa ajili ya ukaribu huo [maana na yeye anaishi huko huko L.A.] mara nyingi ni in-studio guest wa programs zao hususan show ya Undisputed na ile ya Colin Cowherd.
Majuzi hapa alikuwa mgeni kwenye show ya Colin na akarushiana maneno na co-host wa hiyo show, Kristine Leahy.
Binafsi sikufurahishwa naye kabisa. Attitude yake ni mbaya na haitamfikisha popote pale zaidi ya kupata hizi 15 minutes of fame.
Hebu ona hapo kwenye hiyo video....