La zamani limekwenda wapi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001


Jengo la makazi mapya ya Spika kama linavyoonekana hivi sasa mjini Dodoma,hiviii lile la spika wa zamani limeenda wapiiii
 
Spika mpya na jengo jipya, hatokaa humo, kila siku ataishia kukaa hotelini.
Hii nchi safi sana, haitaki usome masomo magumu, we tafuta hata ka digirii ka cookery halafu ingia kwenye siasa, utakula neema ya nchi, wewe hadi uzao wako wa 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…