kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Hi
Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema
Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato.
Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na
Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili
Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana na wapiga madili kina Nape,Yule kipara cha Kisambaa na wengine wengii.
Tafuteni hotuba za Hayati msikilize misishupaze shingo zenuu zitavunjikaaa.
Wewe Msigwa sijui hata nini kimekupataa wewe endelea na utetezi wako uliojaaaa kiburi na majivunoo
Naomba kunukuuuu.
Nasema uongo ndugu zangu ,nimesacrify maisha yangu kwa ajili ya watanzania wenzangu na sema iko siku mtanikumbuka.
Usiku mwema
Viva Jasiri uliyeacha alam kwenye Taifa letu
Hakika mimi ninayaishi yote kwenye hotuba zako.
Wale waliokuwa wamekuzunguka wamekugeuka