Sio jambo jema kumsimgizia Mungu.Laana pekee tuliyopewa na Mungu ni ile ya kula kwa jasho
sasa hii ya kugeuza shingo tuonapo WANAWAKE.. tumejitakia wenyewe siyo mpango wa MUNGU.
Jamani Mungu atusamehe.
nahisi ni kalaana MkuuNahisi hiyo ni kujitakia tu ,,,
Ivi kugeuza shingo si tendo la hiari,, sasa kwann ugeuze[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]