Laana ya Béla Guttmann kwa Benifica

Laana ya Béla Guttmann kwa Benifica

Brain Mpogole

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
11
Reaction score
15
Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas. Benfica walitoka nyuma nakuibuka na ushindi wakiongozwa na black tiger Eusebio ukiwa muendelezo wa mafanikio ndani ya klabu hio kwa Miaka hio,ila badae waliachiwa laana inayowatesa kwenye mashindano ya nje ya Ureno yaani UEFA & Europe league,tatizo lilianzia hapa[emoji116]
:
#Bela__Guttmann
Huyu ni Raia wa Hungary ni kocha alieipa mafanikio Benfica sana na ndie aliongoza timu hio kuifunga Madrid nakuchuka kombe hilo back to back na ndio alioijinga kua moja ya klabu tishio zaidi dunia kwa wakati huo ikisumbua vigogo wote unaowajua wewe, ila tatzo lilianzia hapa baada ya final hio dhidi ya Madrid kocha huyu aliomba ongezeko la mshahara pmj na mkataba mpya lkn klabu ya hio ilimgomea kitendo kilichomchukiza kocha huyo na kuamua kung'atuka kuifundisha pmj nakuacha laana yakwamba hawataka wafanikiwe ktk mashindano ya ulaya kwa miaka100 tokea kipindi hiko.
:
Na hizi ndizo final za mashindano ya ulaya Benfica walizozipoteza baada ya laana hio.
.
[emoji117]1962/63 Vs Ac Millan
[emoji117]1964/65 Vs Inter Milan
[emoji117]1967/68 Vs Manchester Utd
[emoji117]1982/83 Vs Anderlecht
[emoji117]1987/88 Vs PSV
[emoji117]1989/90 Vs Ac Milan
[emoji117]2012/13 Vs Chelsea
[emoji117]2013/114 Vs Sevilla
:
Mwaka wa1990 aliekua kiongozi wa klabu hio alijaribu kwenda kwenye kaburi la kocha Huyo kabla ya final dhidi ya Ac Milan kwaajili yakumuomba radhi juu ya laana yake ila haikusaidia kitu..laana hii bado inaendelea kuwatesa kila siku. [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya watu wakiongea, Maneno yao uwa hayapotei hivi hivi 🤔... Ni miaka 60 imepita katika ile 100 waliyopewa! Na kibaya zaidi aliyechukizwa ayupo tena, acha wajikongoje bado 40
 
Mi nafikiri ungeelezea hizo fainali kama walifungwa kibahati bahati ili tuone kama ni laana au ulikuwa uwezo tu.
 
Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas. Benfica walitoka nyuma nakuibuka na ushindi wakiongozwa na black tiger Eusebio ukiwa muendelezo wa mafanikio ndani ya klabu hio kwa Miaka hio,ila badae waliachiwa laana inayowatesa kwenye mashindano ya nje ya Ureno yaani UEFA & Europe league,tatizo lilianzia hapa[emoji116]
:
#Bela__Guttmann
Huyu ni Raia wa Hungary ni kocha alieipa mafanikio Benfica sana na ndie aliongoza timu hio kuifunga Madrid nakuchuka kombe hilo back to back na ndio alioijinga kua moja ya klabu tishio zaidi dunia kwa wakati huo ikisumbua vigogo wote unaowajua wewe, ila tatzo lilianzia hapa baada ya final hio dhidi ya Madrid kocha huyu aliomba ongezeko la mshahara pmj na mkataba mpya lkn klabu ya hio ilimgomea kitendo kilichomchukiza kocha huyo na kuamua kung'atuka kuifundisha pmj nakuacha laana yakwamba hawataka wafanikiwe ktk mashindano ya ulaya kwa miaka100 tokea kipindi hiko.
:
Na hizi ndizo final za mashindano ya ulaya Benfica walizozipoteza baada ya laana hio.
.
[emoji117]1962/63 Vs Ac Millan
[emoji117]1964/65 Vs Inter Milan
[emoji117]1967/68 Vs Manchester Utd
[emoji117]1982/83 Vs Anderlecht
[emoji117]1987/88 Vs PSV
[emoji117]1989/90 Vs Ac Milan
[emoji117]2012/13 Vs Chelsea
[emoji117]2013/114 Vs Sevilla
:
Mwaka wa1990 aliekua kiongozi wa klabu hio alijaribu kwenda kwenye kaburi la kocha Huyo kabla ya final dhidi ya Ac Milan kwaajili yakumuomba radhi juu ya laana yake ila haikusaidia kitu..laana hii bado inaendelea kuwatesa kila siku. [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
tupia na laana ya liva
 
Kwa AC Milan hata Bela angekuwepo wangefungwa tu...

68A85537-4551-4554-91BC-735E97952190.jpeg
 
Back
Top Bottom